Comments on: Ze Utamu arudi kuwapangusa!

By: EP
Hii makala imenichekesha sana!Yaani very interesting.In fact nadhani UVIVU utaendelea kutula sisi vijawa wa kizazi hiki.Yaani nimependa hiyo sehemu inayosema washikaji wanakuuliza umepataje hiyo nafasi ya kusoma mamtoni ha ha ha….ebana that’s very interesting!

Kwa kawaida watu wanafikiri scholarships na nini ziko automatic yaani you just press a button na mara huyo una-ticket ya ndege na fees ya kusoma mamtoni.Ukiwatumia some important links waangalie they dont even bother.Ukisema wafanye some tests kama TOEFL au IELTS wao wanaona shida ku-invest pesa kwenye hilo ila watu hawa hawa wanatumia zaidi ya $100 wakati wa weekend….vijana wa Tanzania tuamke…

We need to start investing kwenye mambo ambayo tunataka yatokee kwenye maisha yetu.Hakuna accidents zitakazotokea na kutuletea neema maisha mwetu…tupigane kuelekea tunapotaka kwenda….

By: SN
Mgeni.. hilo ni jina langu tu. Sasa, unataka kufahamu jina langu kamili wakati wewe unatumia “Mgeni”?

By: Mgeni
Eti kirefu cha SN (jina la mwandishi wa makala hii) ni nini?

By: SN
Ninakuelewa. Lakini ukifuatilia mifano/makala nilizotoa (kwenye makala zote mbili) utaona kuwa waandishi na wachangiaji wengine walishajadili kwa kina; na wachache tu ndio waliouliza maswali ya msingi na hata kutoa mapendekezo. Kwa maneno mengine, hakuna kitu kipya kabisa — nilichofanya ni kama kuunganisha mambo yote yaliyonigusa kwenye wiki kadhaa zilizopita na kutoa mtazamo wangu.

Ninachosema ni kwamba watu hawajui jinsi kutafuta taarifa muhimu. Na taarifa fulani zikipatikana, watu hawajui jinsi ya kufikiri na kujadili kwa kina. Sababu? Kila mtu ana ‘visingizio’ vyake.

Kinachonikereketa ni ile hali ya matatizo fulani kujirudia kila baada ya muda. Ambayo inamaanisha – kwa namna moja au nyingine – hatujifunzi kitu… Na nadhani vijana wenzangu mnaliona hilo.

Pia, hii sio “hobby” tu. Vijana FM na watu wanaotusaidia wana malengo makubwa. Hii tovuti inatumika tu kuwakutanisha watu. Muda muafaka ukifika tutajaribu kuwafikia vijana wengine kwa njia ya newsletter ambayo itakuwa inasambazwa bure nchi nzima (ikiwa na makala kama hizi)! Kwahiyo, nadhani ni muhimu kupata mawazo tofauti kutoka kwa watu mbalimbali.

Mwisho, napenda kuwaambia kuwa kila mtu anaruhusiwa kutuma makala au taarifa ambazo anadhani zitawasaidia vijana [submit (at) vijana (dot) fm]; wasilisha halafu wahariri watakusaidia kurekebisha mambo mawili matatu.

By: Moh'd
This is a much better article as far as I am concerned. It is easier to make a clear point when one sticks to one or two examples and also give recommendation for solutions. But I still want more articles with ideas even if dreams for now; but we need ideas on how to solve the problems.

Another thing that we all seem to forget, is majority of youths and the general population are uneducated yet they have carried our country for years. My point is, we should focus on the general public rather than the educated few.

And then there is a question of who do we consider to be educated? majority people who spend most of their time on facebook and other social networks are students of different levels. Tanzania as country has very few educated people (as a percentage of general population).. But all that should not derail your point, however the mere that we have kids or people who have gone to school does not mean we have educated Tanzanians.

Bottom line, discussions are great, only if they are not just a hobby. Action speaks louder than volumes. Lets herald the successful young Tanzanians and maybe others will be inspired.

By: SN
Shukrani kwa maoni; hasa kwa kutuletea katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania!

Ile kuperuzi tu vitu au taarifa muhimu inasaidia sana, ili baadae ukikutana na tatizo au jambo fulani angalau utajua wapi pa kuanzia. Baada ya hapo utajua ni vitu gani haswa (vya maana) vinavyokuvutia.

Ukifuatilia mijadala muhimu kwenye mitandao ya Wabongo, utashangaa mtu anaitwa ‘genius’ kwasababu tu amekaa kitako akasoma na kuelewa jambo fulani; kisha akawasilisha maada in a certain comprehensive way. Sio dongo kwa mtu au kikundi cha watu fulani, ila wahusika wanajua ukweli kwamba mambo wanayoongea ni ya kawaida, lakini hadhira haijui hiyo.

Na matokeo yake ni kushindwa kuwa na midahalo au mijadala ya maana — kwasababu watu hawana taarifa, misimamo au itikadi tofauti…

Kwenye mjadala uliopita nilijifunza mengi sana!! Na nitashukuru mijadala kama hii ikiendelea. Hakuna mtu anayejua kila kitu, na kusoma taarifa muhimu, kujenga fikra husaidia sana kwenye kutatua matatizo.

Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania inapatikana hapa [bofya].

By: Deogratius Kimolo
Nimekuwa nalia na vijana wa kitanzania kila siku. Kweli kuna haja kubwa ya kubadili namna ya kufikiri na kutenda, kama kweli tunataka umasikini na hali zetu kimaisha kuwa ni wimbo wa kale. Bado taifa linashindwa kupiga hatua kwa sababu vijana ambao ndio nguzo kuu ya kuleta na kuishi falsafa za mabadiliko wapo kwenye dimbwi zito la mawazo yasiyoleta tija kwa kizazi cha sasa na chaa baadae…..

Sijui tunakwenda wapi. Hii ni rai yangu;hatujachelewa bado. Mshike mwenzako mkono na tubadilike.

By: mdaunambamoja
Thanks for the wake-up call, Bata. Ngoja nami niitafute katiba. Ni ngumu kusoma yote, ila kuna vipande vinavyostahili kusomwa. Lakini, katiba kama ilivyo haistahili kubadilishwa? Mbona Tanzania hatuna ‘referendum’ kuhusu masuala makuu ya kitaifa kama wenzetu Kenya? Wataalamu wa sheria msaada…..

By: Bata
Kwa kusema ukweli, SN anasema ukweli kabisa. Unfortunately, watu tutasoma tutapata stimu halafu baada ya wiki ya mihangaiko ya kazi tunasahau. Mimi nitatoa mfano, hii ishu ya Mtikila kutaka kugombea uraisi kama mgombea binafsi, watu wengi tulishabikia hii ishu, hata mimi nikiwa mmoja wapo mwanzoni.

Ila baada ya muda, nikasema ngoja niitafute katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania niangalie inasemaje. Ni kweli katiba yetu tukufu inasema :-

Mtu hatastahili kuchaguliwa kushika kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano isipokuwa tu kama:-

39-(1) (c) ni mwanachama, na mgombea aliyependekezwa na chama cha siasa;

Bofya hapa kusoma zaidi.

Sasa, sijui kwanini Mtikila anaendelea kukimbizana na hii kesi. Ila katiba nayo inajichanganya kidogo ukiangalia 21-(1) and 21-(2).

Yah, ila nachotaka kuonesha ni kuungana mkono na SN. Sometimes ndio cheki udaku, lakini it does make a difference ukifuatilia ishu zinagusa taifa lako. Vijana ni taifa la leo, sio kesho. A little bit of effort goes a long way.

Mimi sijawahi kuiona katiba ya nchi maisha yangu yote, nilikuwa naisikia tu. Just last month I googled and read it, kufuatilia ishu za uchaguzi and n.k.

By: mdaunambamoja
Wasanii wanasubiri rais awafungulie studio na kampuni ya kusambaza cd