Kutana na Twiga Stars

On November 4, 2010, in Audio, Visual, by SN

Mambo ya Uchaguzi yamekuwa mazito mno kuliko tulivyotegemea. Wakati tukitafakari na kutafakuri kwa kina yaliyo mbele yetu, sio vibaya tukijiliwaza kidogo; ili mradi tu kupunguza munkari.

Makala kadhaa kuhusu Uchaguzi zitafuata baada ya matokeo rasmi — yaliyohakikiwa — kumalizika  kutangazwa.

Kama hujatosheka basi huna budi kubofya hapa

Share on Twitter
Tagged with:  

Leave a Reply