Una maoni gani? Je, Watanzania tunahitaji Vazi la Taifa? La kuchaguliwa na kamati maalumu ya serikali?
“Nilimfahamu marehemu Regia kama kijana mwanaharakati na mpambanaji asiyechoka kupigania kile anachokiamini. Kipindi hiki harakati nyingi alizokuwa akizifanya, alizifanya kupitia harakati za kudai haki za msingi za vijana wa Tanzania, hususan haki za makundi maalumu wakiwamo watu wenye ulemavu, watoto, wanawake na vijana kwa ujumla.”
Book Week Festival for 2011 is taking place at Tanganyika Library from November 23rd – 26th from 8.30 am – 5.00 pm.
A policy dialogue on 50 years of Independence: reflecting on the state of education and literacy in Tanzania, now and beyond.
Maoni kuhusu mashoga kwenye jamii nayo yanaruhusiwa na yanakaribishwa kwa moyo mkunjufu, ingawa makala inawalenga zaidi viongozi wa nchi yetu ili kujaribu kuwekeza kwenye maendeleo endelevu.




