Nchini Afrika Kusini mapambano ya kupunguza vifo kutokana na Ukimwi yameingia sura mpya. Wenzetu wameanza kutumia huduma ya simu za mkononi katika mapambano hayo. Inafahamika kuwa Afrika ni sehemu yenye waathirika wengi wa ugonjwa huu duniani. Bara hili pia lina idadi kubwa ya watumiaji wa simu za mkononi (zaidi ya milioni 300). Mwaka 2008 shirika [...]




