Watoto wa Taliban

Kuna propaganda nyingi kuhusu watu wanaojitoa muhanga na kujilipua, hasa kutoka kwenye vyombo vya habari vya nchi za Magharibi. Lakini umeshawahi kujiuliza: Hivi, wanajaribu kutafuta chanzo?