Saffron Restaurant presents Saffron Sessions, featuring Andrew Ashimba, Samuli “Teho” Majamäki and Jussi Jaakonaho, starting this January 13 at 8pm.
Sara Lundström aka SaRaha ni msanii anayefanya kazi zake kwenye studio za Usanii Production.
Langa na Kala Pina waongelea matumizi ya madawa ya kulevya na athari zake katika kipindi cha Njia Panda cha Clouds FM.
Msikilize Langa kwa makini…
Baada ya msako wa muda mrefu sana, hatimaye tumefanikiwa kumpata Grace Matata, msanii ambaye nyimbo zake zinagusa wengi…




