Food for Thought

On July 28, 2010, in English, Visual, by taha

Experience vs. Memory

Tagged with:  

Country reports added to Vijana FM’s resource bank

On July 24, 2010, in English, Print, by admin

Vijana FM is working towards providing a comprehensive resource bank for its subscribers. The latest addition: World Bank and IMF data on East African countries.

Tagged with:  

Watanzania tunaogopa Sayansi?

On April 13, 2010, in Print, Swahili, Visual, by admin

Takribani miaka miwili iliyopita watu kutoka kila kona ya dunia walikuwa wanazungumzia utafiti wa fizikia uliokuwa unaanza Geneva kutumia Large Hadron Collider (Picha halisi za vifaa na mashine zinazotumiwa zinapatikana hapa (virtual tour)). Ingawa sina takwimu zinazoweza kuniambia ni Watanzania wangapi walikuwa wanafuatilia au kutaka kuelewa nini kilichokuwa kinaendelea, nina uhakika ni wachache sana. Kwa [...]

Tagged with:  

Uharibifu wa mazingira Geita na Mara – Sehemu ya tatu

On March 23, 2010, in Print, Swahili, by admin

Baada ya kulivalia njuga hili suala nazidi kupata taarifa zaidi kila kukicha. Na mimi sisiti kuwapa taarifa Watanzania wenzangu na watu wengine wanaolifuatilia hili jambo kwa makini. Nakala hii ya uchunguzi wa kina inapatikana kwenye websites za Business & Human Rights na Africa Files. Na inaangalia mazingira ya sehemu mbili – migodi ya Geita na [...]

Tagged with:  

Elimu nje ya nchi: Tuambie hali halisi

On March 11, 2010, in Print, by admin

Nadhani watu wengi watakuwa wamesikia au kuona hali kwenye vyuo vikuu au vyuo vya elimu ya juu kwenye miji mbalimbali kwa njia moja au nyingine, iwe Ulaya, Afrika, Amerika au Asia. Na Vijana wengi zaidi wanatamani au wana mipango ya kusoma nje ya nchi. Bahati mbaya upatikanaji wa ‘info’ muhimu kwa Vijana ambao wanataka kusoma [...]

Tagged with: