Follow a year in the life of the Twiga Stars, the Tanzanian women’s national football team, as they prepare for their biggest competition, and fight to prove that “wanawake wanaweza”.
Una maoni gani? Je, Watanzania tunahitaji Vazi la Taifa? La kuchaguliwa na kamati maalumu ya serikali?
“Nilimfahamu marehemu Regia kama kijana mwanaharakati na mpambanaji asiyechoka kupigania kile anachokiamini. Kipindi hiki harakati nyingi alizokuwa akizifanya, alizifanya kupitia harakati za kudai haki za msingi za vijana wa Tanzania, hususan haki za makundi maalumu wakiwamo watu wenye ulemavu, watoto, wanawake na vijana kwa ujumla.”




