Album ya mzee mzima Fid Q, Propaganda inapatikana hapa (bofya)! Unaweza ukapata wimbo wake mpya Ngosha the Swagga Don hapa. Wimbo ni bombaaaaaa!
“Mc’z wanaenda down, ka Zim dollerz/ mie sio mtu wa Bling mie ni Culture ka Zemkala/ da brightest thang shinin nxt to a Diamond/ niite Ghost writter ninapoBLAZE ka Amo/ mara nyingi mie nina bahati kama Lotto Machines/ sio mtu wa Adventures kama FRODO kwenye Lord of the Rings/ niite ROSCOE, ninapoSPEAK in tonguez ka Jenk…inz/ Don kama Bosco Mad kama Ice Helsink/ unataka Bed fight? mie nina King size na French fries kwa Breakfast/ T bone steakz na Prison break ki GANGSTA/ Tatoo Plan kama Michael Scholfield/Bruce Lee wa RAP ya AFRIKA, ROCKCITY naigeza RAP SEAT…”
“Alipenda kwenda na TAREHE, amesahau SIKU Hazilingani/ PESA huja na STAREHE, na MATATIZO humo humo Ndani/ Hakuna kinachokauka Mapema zaidi ya MACHOZI/ japo MACHO hupaki Mekundu na USONI ishara ya Majonzi/ Kizuri ni KIZURI lakini chenye UBORA Ni BORA/ Kwa bahati MBAYA au NZURI akaja mchimba MADINI wa Kakora/ Akashoboka n…a huyu BINTI Aliyemsafisha macho/ Akamhonga, Gari, Nyumba na kile alichokuwa Nacho/ Almesahau alitoa, MACHOZI, DAMU na JASHO, kipindi ana HUSTLE, siku zi nyingi anaamini atarudi apoapo/ Siku zote ADAM hakosi EVE wa Kumshawishi/ Haijalishi maji ni ya MOTO lazima yataurudia UBARIDI…”
Mistari kama hii haina budi kununuliwa!
Jamaa nampa SALUTE..