Madenge, Lodi lofa et al

Unakumbuka visa vya akina Komredi Kipepe, Dr. Love Pimbi, Lodi Lofa, Ndumi la kuwili na Madenge kwenye gazeti la SANI ?

Miaka ile, katuni hizi zilikuwa maarufu kiasi kwamba baadhi yetu tulibamkikiwa majina yao kama majina ya utani – nadhani mimi nilikuwa madenge. Mtunzi wa katuni hizi ni marehemu Philip Ndunguru, aliyefariki mwaka 1986 akiwa na umri wa miaka 24. Katuni zake ziliendelea kuleta tabasamu miaka kadhaa iliyofuata. Kwa kumkumbuka mtunzi huyu, na kufurahia kazi zake, embu tazama visa hivi.

Previous ArticleNext Article
Joji was born and grew up in Dar es Salaam, Tanzania. He graduated with a B.Sc in Biochemistry in Germany, and is now pursuing a Masters degree in Microbiology & Immunology at the Swiss Federal Institute of Technology (ETH) in Zurich, Switzerland . Joji is particularly interested in matters related to global health, and basic science research that tackles public health challenges. He is engaged in mentoring Tanzanian students in higher education issues, most notably at the Kibaha High School. In this capacity, Joji blogs with Vijana FM about scientific research and development, and how youth can gain greater access to higher learning.

This post has 10 Comments

10
  1. Hahahaha! Hii imenikumbusha mbali sana. Shukrani!

    Sasa kwenye masuala ya majina ya utani, mwandishi unadai ulikuwa unaitwa Madenge? Ya kweli haya..Tukamuulize dingi!? Maana'ke kila mtu atajiita MADENGE!

    Mi' nina mdogo wangu, yaani mpaka leo bado tunamuita PEPE (Kipepe). Nadhani inajieleza. Jina langu mimi? Mhhh, nitachuna mpaka wasomaji waseme ya kwao kwanza..LOL.

  2. kwakweli hapo ni kitambo sana umenikumbusha yani utazani hao jamaa ni wapo duniani kumbe utunzi tu

  3. kweli pia umenikumbusha mbali sana, ila kama inawezekana ni afadhari mkarudisha majarida, kama yale miaka 1990

  4. ila kuna watu walikua wananiita bumija kwasababu nilikua na bonge la mdoli linalotisha ambalo tulikua tukiliita bumija

  5. ………Duh! ni kwel hivi visa ni vya kitambo kidgo nakumbuka nilikua darasa la tatu na tayari nlikua nshabatizwa jina la Madenge na sasa niko kidato cha tano sikumbuk hata kidogo kuhusiana na sababu zilizofanya mpaka nipewe jina hilo…..ama kwel hili gazeti ni la kitambo lakin bado limeendelea kutoa burudani za uhakika na zinazopendwa na kufurahiwa na watu weng zaid nchini……..HONGERENI SANA\\”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Send this to a friend