Lyrics:
Zum zum zum,
Eeeeh mama nyuki lia we.
Zum zum zum,
Eeeeh mama nyuki lia we.
Toka mbali, kutafuta, ua zuri, la maua,
Zum zum zum,
Eeeeh mama nyuki lia we.
Haya, wenzangu mnakumbuka nyimbo gani? Maana’ke mkiniachia mwenyewe niendelee, blog nzima itajaa:
Mabata madogo dogo, yanaogeleeaa!
Katika shamba zuri la bustani!
Yanapenda kulia,
kwaa kwaa kwaaa kwaaaa kwaaa kwaaa!…
Utu uzima dawa, jamani. Kama ingewezekana kurudi utotoni…
Shukrani kwa da’ Subi (sio kwa nyimbo! – bali kwa kutuonesha wapi pa kuzipata videos kutoka Bongo).