Bila shaka watu wengi tuliguswa na ukarimu na ujasiri wa Paul Rusesabagina, ambaye hadithi yake ilitingisha dunia nzima — kupitia filamu ya “Hotel Rwanda” na kitabu chake “An Ordinary Man.”
Ndugu Rusesabagina aliamua kuwa mkimya kwa muda mrefu, lakini hatimaye ameamua kuzungumza na vyombo vya habari. Angalia mahojiano aliyofanya na CNN hivi karibuni:
Muhtasari wa mahojiano unapatikana hapa.
The story of Mr. Rusesabagina is quite amazing. But how can we be sure that those scars are healing in Rwanda?
It’s something they accepted and now are moving on with their lives. Hope will get some contribution from someone from Rwanda or Burundi.