Yakheee, kama huishi Zanzibar, basi nadhani sasa hivi pua yako itakuwa yatafuta marashi ya karafuu; au upepo mwanana kutoka baharini. Wale pweza wa pale Forodhani, je? Juisi ya miwa na matango yaliyotiwa pilipili pale Darajani?
Tulio mbali twabakia kumeza mate tu!
Bila kusahau uzuri wa zanzibar kama uko tayari… utalipiwa kila kitu malazi, chakula n.k….