Huyu ndio Fid Q a.k.a Ngosha, star wa Bongo Hip Hop. Album yake ya Propaganda bado inafanya vizuri kutokana na nyimbo zilizo rekodiwa kwa ubunifu na mashairi yenye vina vya kina.
Karibu usikilize playlist ya baadhi ya nyimbo zake, halafu utaelewa kwanini yeye ni star wa Bongo Hip Hop…
Bahati was born and raised in Tanzania, and then moved to California to pursue his college education. He graduated in 2008 with a Bachelor’s Degree in Political Science and a minor in Sociology. Bahati expects to be doing his Masters in African Studies in the near future. He is currently working on starting a t-shirt business and a possible publication of some of his writings. One thing that Bahati cannot live without is music, specifically Hip Hop & Bongoflava which he argues are both the voice of the youth today, and is excited to look into how Bongoflava can be a source of further entrepreneurship among the youth in Tanzania. Bahati believes that Bongoflava can help to reduce poverty in Tanzania, as can a more collective effort among key players.
This post has 12 Comments
12
Happy Birthday FidQ! Endelea na kazi nzuri. Tuko nyuma yako. January
vina vya kwenye Mwanza Mwanza si mchezo, inabidi utulie usikilize kwa makini, manake utulivu ukipepesuka kidogo tu, utakutwa umeachwa na kasi falsafa ya humo…hah!!
Ebwana mzaz propaganda inatisha vibaya yani dizain kama wanatafuta usawa then wana practice segregate wadogo kama chawa ndani ya mashati.ebwana shangwe kaka its me swila
Whats up fid q its me super under ground mwenye haso za game siogopi kupigwa na wa2 mia nilisha pigwa na dunia halafu hata sehemu moja cku umia ni mim mfalme wa ryme nitakayefuata badala ya fid naongea kwamba hakuna urudishaji wa muda bali kuma mambo yanaendelea .wanamuita popo mnyama eti sababu anazaa.mijadala icyo nafaida,wanapoteza fedha.wamesahau hautungoji muda,ngoja niwafunze kutafuta fedha.wameloose like ahmada,wanaopen kiwa wanajiita mcroza.pia tumbo ni tumbo huwez lilsha kwa operation.am a counter like iwe ya mkoni au ukutani.ukitaka kunipata call me 0717703276.ndoto zangu one day nipige game na ngosha nahic litakuja kuwa bonge la jigoma
Happy Birthday FidQ! Endelea na kazi nzuri. Tuko nyuma yako. January
Happy birthday boss… keep doing what you do.
Ebwanae, mzuka! Uzidishiwe ili uendelee kutuletea mistari mikali ZAIDI.
Happy birthday!
“kuongea sio kusema na kufumbua macho sio kuamka”…Happy birthday mzaz, endelea kuwaweka shule!!
Asanteni sana jamani… leo nimeishiwa Maneno kabisa jamani, wanasema ‘GRATITUDE SEIZES THE TONGUE’ LOL
Bofya hapa kununua album ya FidQ mtandaoni. Heri ya siku yako Fid Q
Happy b’day mzee wa Hip-hop!
Haya, kamchezo kidogo.. Mistari ipi ya Fid Q mnaipenda? Mi’ yangu hii hapa:
“Nina mistari mingi kuliko wake wa Mswaaaati!”
“Simba kumla mtu ni habari; mtu kumla simba ni habari ya kusisimua!”… Sio mchezo
nimesikiliza wimbo wako wa ” NI HAYO TU” sio siri umetulia jamaa anashuka mistari sio mchezo…lol