Hebu tupandishe bei ya umeme

Tanesco wanadai ucheleweshwaji wa kupandishwa bei ya umeme Tanzania utasababisha kuhairishwa kwa mipango na mikakati mbalimbali ya “kuboresha” huduma nchini. Katika sentensi iliyopita kuna neno moja ambalo haliendani na maneno mengine. Kwa maneno mengine, kuna tofauti kati ya kuanza shule na kurudi shule!

Mmoja wa watembeleaji wa tovuti hii, Nionavyo, ametuletea makala ifuatayo iliyoandikwa na J. Mwamunyange wa The Eeast African. Kuna tarakimu na takwimu kadhaa ambazo zimejadiliwa kwa kifupi; ila itakuwa sio vibaya mnaoelewa mambo ya uwekezaji na uchumi wa Tanzania na dunia kwa ujumla mkajadili mambo kwa kina.

*        *        *

Tanzania’s power utility has warned that failure to adjust electricity tariffs upwards may result in the delay of major projects.

In a submission to the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (Ewura), the Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) argues that it needs the regulator to approve a system-wide tariff adjustment over three years from January 1, 2011.

According to the power utility, the proposed average adjustments are 34.6 per cent in 2011, 13.8 per cent in 2012, and 13.9 per cent in 2013.

The new tariffs will enable Tanesco to fund its capital investment programme to demonstrate its bankability to donors offering concessionary loans or grants, to increase capacity needed to meet system peak demand and to adequately fund repair and maintenance to ensure a consistent and stable supply of electricity.

Tanesco has concluded that there are no acceptable alternatives to tariff adjustment. However, it admits that it needs to increase operating efficiency, and the financial projections include these improvements.

General manager for generation at Tanesco, Stephen Mabada, said the average tariff adjustment proposed is below the increase in costs implied by general inflation since the last tariff adjustment in January 2008; cumulative 2008-09 and projected 2010 inflation is estimated to be 37 per cent.

Mr Mabada said that in the event that the tariff adjustments are not approved, the company’s capital investments programme would be set back.

“Tanesco has a programme of internally funded investment targeted to improve its financial performance. Since the company’s current financial condition does not permit bank financing of these investments, the company is planning to fund them internally. If funds are not available, these investments will be delayed,” he said.

In 2011, the energy firm will make internal investments totalling Tsh125 billion ($83 million). Tanesco said delay in these investments would mean that loss reduction targets would not be achieved, as planned maintenance activities would have to be deferred. In the recent past, Tanesco has spent only a fraction of the amount dictated by international best practice on repairs and maintenance or R&M.

Continue to read…

Capitalism at its best? Do you think Tanesco should come up with a better solution?

Maybe the alternative sources of electricity would alleviate this problem?

Previous ArticleNext Article
Steven was born and raised in Dar es Salaam, and moved to Germany for his studies. He graduated with a BSc. in Physics (Jacobs University Bremen), and then a MSc. in Engineering Physics (Technische Universität München). Steven is currently pursuing a PhD in Physics (growth of coatings/multilayers for next generation lithography reflective optics) in the Netherlands. He’s thinking about starting his own business in a few years; something high-tech related. At Vijana FM, Steven discusses issues critical to youths in Tanzania, music, sport and a host of other angles. He’s also helping Vijana FM with a Swahili translation project.

This post has 4 Comments

4
  1. Ntaanza nami kwa kuangalia maybe short term solutions za kuiokoa TANESCO yetu, EWURA nao wameona bora kupata maoni yetu (kitu ambayo haijawahi kutokea).

    http://allafrica.com/stories/201008301284.html.

    Ukiisoma hiyo article kwenye link niliyo-paste, utaona wahusika (ambao ni sisi), tunataka TANESCO ifanye kazi ndani ya shirika lake kwanza. Kama vile:

    -Kuacha kuwalipisha units za umeme kwa bei poa mno wafanyakazi wa TANESCO, ambayo inaweza kuingiza TANESCO, kama bilioni 2 kwa mwaka. Gazeti la Citizen nalo limejitahidi kuchambua hili swala [bofya].

    -Kupunguza wafanyakazi wake, ambao inaonesha ni wengi mno (of course, baada ya ku-computerise system yao).

    -Kupunguza matumizi ya shirika, either kwa kuyauza mashangingi na ma-VX (wakurugenzi hawayahitaji hayo kutoka Masaki/Oysterbay kuja mjini! Hakuna mashimo sio?).

    -Pia kuacha ukarabati/ujenzi wa kipuuzi wa nyumba za wakurugenzi ambao kutokana na mahesabu yao huwa yanagharimu sio chini ya mabilioni ya shilingi!

    -Ikiwezekana kufunga LUKU kwenye mashirika, wizara, makampuni na wateja sugu ambao inakua mbinde kulipa gharama za umeme wanaoutumia.

    -Na mwisho na pointi kubwa kuliko zote, kuongeza wateja, hakuna shirika/kampuni inayoweza ku survive without its customers, customers ndio wanaofanya biashara yoyote duniani ku-survive, sasa inaonekana taratibu za kupata umeme ni mbinde, lazima utoe chau chau kuvuta umeme tu, ikiwezekana ulipie vifaa vya kuunganisha umeme, hata unaweza kuambiwa ulipie gharama za milingoti ya umeme! Ajabu kabisa!

    Wadau na nyie mnakaribishwa mchangie hoja zenu kwa angle na mitazamo tofauti.

  2. Naona mzee maoni yako yamefunga mjadala! Siku nyingine uwe unatoa ‘aste-aste’.. Ili baadae uje kuongezea. Sasa kwa mwendo huu, watu wataandika nini? Hahahaha

    Weekend njema!

    NB: Ningependa kujua kwanini habari na makala za mambo kama haya huwa (kwa mtazamo wangu) zinajadiliwa vizuri kwa lugha ya Kiingereza? Kuna makala nyingine ambazo zimejadili hili suala kwa kina kwa Kiswahili? Labda huwa sizioni, lakini ni kitu ambacho nimekuwa nikikiona kwa muda mrefu sana. Au ni waandishi wa habari wa Kiswahili tu ambao ndio wavivu kuchambua mambo?

  3. Ni kweli SN.
    Sa ingine kuporomosha points kali, inabidi utumie king’eng’e!
    Nona watu wako busy, ila watakuja tu kuweka points zao hapa. Gazeti la mwananchi liliongelea kidogo, hata ippmedia.com.
    Ila si mchezo, kwa kweli tuendelee tu kujadili matatizo and solutions kwa ajili ya taifa letu, mpaka kieleweke, au sio SN?
    Cheers

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Send this to a friend