“The true story of an 84 year-old Kenyan villager and ex-Mau Mau freedom fighter who fights for his right to go to school for the first time to get the education he could never afford” – IMDb
Nimefurahi sana kuona kuwa wametengeneza filamu kuhusu huyu mzee. Ni matumaini yangu kuwa filamu hii itatukumbusha historia yetu, na pia kutuonesha umuhimu wa elimu.
Kwa kumalizia tu, ningependa kuuliza: hivi mfumo wa elimu ya watu wazima Tanzania ukoje na unaendeleaje?
Nimeipenda sana hiyo video…ha ha ha!Serikali ya Tanzania ilikuja na mpango wa MEMKWA ambao una lengo la kusaidia watu waliokosa elimu hasa ya msingi,sijajua kwa kiasi gani umefanikiwa ila ninaamini kuwa pengine mfumo wa zamani hule wa Elimu ya watu wazima inawezekana ulikuwa more effective kuliko huu mradi mpya.
Maana nimesikia MEMKWA MEMKWA halafu sasa sisikii kitu sijui ndo ilikuwa ni kampeni ya kuchukua pesa zetu katika namna ya ufundi zaidi yaani Tanzania kwa kweli tuna safari ndefu sana!