Pia, inajadili mafanikio ya muziki wa Tanzania katika upande wa biashara.
Muziki kweli ni kioo cha jamii, kwani kama mila na desturi zetu zinavyobadilika, ndivyo hivyo hivyo muziki nao hubadilika kuakisi hali halisi katika jamii husika.
Chanzo/Hisani ya: Media for Development International – Tanzania.