Kwani teke hili la ongezeko la upweke katika jamii kutokana na ongezeko la matumizi ya teknolojia, sidhani kama ni teke ambalo lilionwa na wengi likitujia.
Lakini, je, hofu hii ya upweke (au isolation) ni hofu ambayo lazima itiliwe maanani au ni hofu tu isiyo na msingi? Kwani pamoja na mawasiliano ya ujumbe mfupi (SMS) kuchangia kwa kiasi fulani katika mitafaruku mbalimbali ndani ya jamii, facebook, twitter na mitandao mingine inachangia kwa kiasi gani katika kututenganisha wana-jamii, na hata katika kutuunganisha?
Jamiifacebook