Leo, Ijumaa ya tarehe 26 Novemba 2010, nimepata taarifa kuwa Nyumba ya Sanaa inabomolewa.
Kama huamini…
Wenye taarifa zaidi msisite kutufahamisha. Ukizingatia historia nzito inayoambatana na sehemu ile, je, kuna mipango yoyote mbadala? Nitaishia hapa kwasababu sijui kwa undani suala zima; maana’ke nikianza “kitiririka” naweza nikawa mwehu.
Kwenye utafiti wangu kufuatilia hili jambo, nimekutana na filamu ifuatayo ambayo ninakushauri utulie kisha uiangalie:
Hiki ni kipande tu cha documentary inayoitwa “Msanii: Artists of Bagamoyo.” Nikiipata nitaiweka hapa.
usijali steve,
Unajua baraza la mawaziri limekaa uku wizara ya utamaduni haipo popote,so ndo twaelekea uko
🙁