Katika pita-pita zangu na kuzurura nimekutana na albamu ya picha kutoka ‘nyumbani’ zilizopigwa na Pernille Bærendtsen. Binafsi nimezitazama hizi picha kama mara tatu; ukiacha vifaa alivyonavyo, nadhani ana kipawa cha kudaka au kunasa vile vitu ambavyo vinaonekana ni vidogo sana machoni mwa wengi. Ila ukiangalia picha kwa mara nyingine, utagundua na kuona vile vitu vidogo vinameza vile vikubwa.
Haya vijana, jifunzeni:
Ukitaka kuona picha zaidi za sehemu alizotembelea, nenda kwenye tovuti yake.
Asante boss, nilipenda picha zote. You’re right, she does tend to capture things we would otherwise not notice. Nafikiri we need a way to host more images around here…
True, hopefully this post will encourage people to do the same; and we will be more than happy to post the photos here.
Again, enjoy!
PS: It’s has been relatively quiet in the last 3 days…
Do you think the “big picture” example from the Boston.com could work here on Vijana FM? I’m contemplating the creation of a section especially for original and high-definition photographs (of/about East Africa).
Why not? The hardest part would be to spread the word around to photographers; as things stand now, no one seems to care about having a collective weekly album (I have seen Wavuti’s Subi collecting pictures from various blogs more than once in a week)… But once it picks up, you know what will happen.
So, why not go for it?
Tutaiitaje? Swahili flava? Picha za Kitaani? Taswira? Kurunzi la Afrika Mashariki? Please people, help us out…
why not have a special corner for picha zilizopigwa kwa simu. It might be interesting. 🙂
* I saw this short documentary once which was filmed using a Nokia cell phone somewhere in West Africa.
Hee hizi picha nimeziangalia tena leo zimenifurahisha sana
Moja ina rikwama/mkokoteni umebaba magunia ya makaa limeandikwa “Black History”……
Hii history ni ya Mkaa au ya Watu? Hahahaha