Bongo Old Skool

Sugu katoka mbali!!... Sorry, Mheshimiwa.

GWM ft. II Proud aka Sugu — Yamenikuta:

Kwanza Unit ft. King Kiki — Msafiri:

Mabaga Fresh ft. Juma Nature — Mtulize:

Afande wakati huo ana singo moja tu: Mayowe.

Afande Sele ft. Jay Mo — Mayowe:

Hard Blasters Crew: Unamuona "Heavy Weight MC"?

Hard Blasters Crew — Mamsap:

Imam Abbas ft. Juma Nature — Bila Sanaa:

Kikosi Cha Mizinga — Tunasonga:

Mzuka wa Nature: 3 - 0.

Manduli Mobb ft. Juma Nature — Maskini Jeuri:

Solo Thang ft. Juma Nature — Mambo ya Pwani:

Hamis alikuwa na maswali ya kifalsafa.

Mwanafalsafa ft. Jay Mo — Ingekuwa Vipi:

Madee ft. Mandojo & Domo Kaya — Kazi yake Mola:

Juma Nature — Sonia:

"Babu" akiwa ana 'bling bling'. Sijui ilikuwa Wami? Barabarani hapo mzee!!!

Gangwe Mobb (Inspekta Haroun) — Mtoto wa Geti Kali:

Afande Sele ft. Solo Thang & Profesa Jay:

'Dayamondi' ilikuwa inajaa pomoni. Good old days...

Tunawatakia Christmas Njema na Heri ya Mwaka Mpya!

Previous ArticleNext Article
Steven was born and raised in Dar es Salaam, and moved to Germany for his studies. He graduated with a BSc. in Physics (Jacobs University Bremen), and then a MSc. in Engineering Physics (Technische Universität München). Steven is currently pursuing a PhD in Physics (growth of coatings/multilayers for next generation lithography reflective optics) in the Netherlands. He’s thinking about starting his own business in a few years; something high-tech related. At Vijana FM, Steven discusses issues critical to youths in Tanzania, music, sport and a host of other angles. He’s also helping Vijana FM with a Swahili translation project.

This post has 4 Comments

4
  1. These are true school thang! imagine huyo Juma Nature kipindi hicho na leo au FA siku hizi anavyoimba pumba za kujisifu kibwege. wasanii wanatakiwa wajue mapinduzi bado hayajafika, kipato bado kipo chini sana na matatizo ya jamii ni mengi sana hivyo nyimbo za ukombozi zinahitajika, sio kwamba nyimbo za mapenzi ni mbaya lakini zinatakiwa ziwe na aim ya kumkomboa maskini!

    1. Chani, tuko mitamboni kutengeneza playlist moja iliyosimama — zinasumbua fikra, kuwatia moyo watu, na kutoa nasaha hapa na pale kusaidiana kujikomboa kimaisha. Ndani ya wiki moja mambo yatakuwa yamekamilika (kama kila kitu kikienda shwari).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Send this to a friend