Tanganyika katika picha

Ukipata muda itakuwa vema ukitupia jicho hizi taswira za Tanganyika:

http://www.flickr.com/photos/nationalarchives/sets/72157625849884949/show/

Lengo hasa la huu mradi wa “Africa Through a Lens” ni kukusanya taarifa sahihi. Kwa hiyo, tembelea tovuti yao na kuangalia kama unaweza kuwasaidia kuwa au kuhifadhi taarifa sahihi, au kuongezea mambo mawili matatu. Vitu vinavyohitajika ni kama majina ya watu, mahali ambapo picha zilipigwa, tarehe, matukio muhimu n.k.

Kama wewe ni mtoto wa juzi-juzi basi itakuwa sio vibaya ukiwasilisha huu ujumbe kwa “wazee”.

Previous ArticleNext Article
Al-Amin founded Vijana FM in 2009. With over a decade of experience in communications, design and operations, he now runs a digital media consulting agency - Lateral Labs - in Dar-es-Salaam.

This post has 2 Comments

2
  1. This is a sick album! Shukrani, SN. Learned a lot through these images, which never come up on a Google Image Search 😉

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Send this to a friend