Soma Book Café iliandaa usiku wa ushairi ambao ulipambwa na mashairi kutoka kwa Maya the Poet na mwimbaji Vitali Maembe. Onesho hilo la ushairi lilifanyika katika siku ya vijana wa Kiafrika — liliitwa “Across the Sea”, kwani Maya the Poet alikuwa akisumulia wageni juu ya mambo yaliyojiri katika safari zake, mpaka hivi aliporudi tena Tanzania.
This is a recap of Soma Book Café poetry night that featured performances from Maya the Poet and Vitali Maembe. The event took place on youth day. And it was titled, “Across the Sea” since Maya was sharing her stories and experiences with the audience, from the time she left Tanzania to when she returned.
Now enjoy the sights and sounds of “Across the Sea” poetry night:
Related webpages: