Malaria comic

Wanasayansi wanaofanya utafiti kufahamu mbinu ambazo mdudu wa malaria (Plasmodium) anatumia kuepuka mfumo wa kinga wa binadamu hivi karibuni wamezindua mfululizo wa katuni wenye lengo la kusambaza ujumbe kwa umma kuhusu ugonjwa huo pamoja na jitihada zao za kisayansi. Katuni hiyo ‘MALARIA! The Battle Against a Microscopic Killer’ imeandaliwa na jopo la watafiti wa EVIMalaR na imezinduliwa rasmi wiki iliyopita mjini Heidelberg, Ujerumani katika kongamano la baiolojia ya mdudu wa malaria. Tafadhali peruzi kurasa za katuni hiyo ili upate uelewa wa jinsi gani mpaka leo hii hatuna kinga au dawa madhubuti ya ugonjwa huu. Waweza kujipakulia katuni hii au kuisoma mtandaoni hapa.

Image courtesy of www.malariacomic.com
Image courtesy of www.malariacomic.com
Image courtesy of www.malariacomic.com
Previous ArticleNext Article
Joji was born and grew up in Dar es Salaam, Tanzania. He graduated with a B.Sc in Biochemistry in Germany, and is now pursuing a Masters degree in Microbiology & Immunology at the Swiss Federal Institute of Technology (ETH) in Zurich, Switzerland . Joji is particularly interested in matters related to global health, and basic science research that tackles public health challenges. He is engaged in mentoring Tanzanian students in higher education issues, most notably at the Kibaha High School. In this capacity, Joji blogs with Vijana FM about scientific research and development, and how youth can gain greater access to higher learning.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Send this to a friend