Mbu na harufu ya pombe
Utafiti umeonyesha kuwa mbu wanaosababisha malaria wanavutiwa mno na harufu ya aliyekunywa bia.
Utafiti umeonyesha kuwa mbu wanaosababisha malaria wanavutiwa mno na harufu ya aliyekunywa bia.
Unakumbuka visa vya akina Komredi Kipepe, Dr. Love Pimbi, Lodi Lofa, Ndumi la kuwili na Madenge kwenye gazeti la SANI…
Mzazi: We Sikuzani, embu acha hiyo! Mtoto: Kwanini!? Mzazi: Kwasababu nimesema! Haya ndio yaweza kuwa majibizano mafupi katika familia nyingi…
Motherland, a new documentary film directed by Owen ‘Alik Shahadah. A sequel to ‘500 years later’, it premieres tonight in…
Particles. Mlipuko. Mlundiko wa data. Haya ndio yatokanayo kwenye matembezi niliyofanya na wenzangu kwenye saiti ya tafiti ghali kuliko zote…
Hivi punde tu nimemaliza kukisoma kitabu cha Malcolm Gladwell kiitwacho Outliers: the story of success. Nimeona ni vyema kuwasilisha hapa…
Wiki chache zilizopita, tulikuwa na mjadala hapa kuhusu Dambisa Moyo na ujumbe wake kuhusu athari za misaada ya maendeleo katika…
Anaitwa Loise van Baarle, mchoraji chipukizi kutoka Uholanzi. Hapa chini waweza tazama moja ya kazi zake, katuni fupi kuhusu mapenzi…
Picha kwa hisani ya National Geographic* Kuna baadhi ya tafiti ambazo zinasisimua, ilihali uwezekano wake wa kuzaa matunda katika mazingira…
Nchini Afrika Kusini mapambano ya kupunguza vifo kutokana na Ukimwi yameingia sura mpya. Wenzetu wameanza kutumia huduma ya simu za…
Kilimota kama 5 hivi kutoka Morogoro mjini, pembezoni mwa mlima Uluguru, kuna shule moja maalumu yenye wanafunzi wenye vipaji. Wanafunzi…