Tanzania na tatizo la umeme
Mchangiaji wa tovuti hii, Sakura, ameamua kuhoji mfumuko wa bei ya umeme. Na Serikali nayo inaulizwa kama ina haki ya kuingilia maamuzi husika…
Mchangiaji wa tovuti hii, Sakura, ameamua kuhoji mfumuko wa bei ya umeme. Na Serikali nayo inaulizwa kama ina haki ya kuingilia maamuzi husika…
“Between 6 and 8 billion shillings worth of gold leaves Geita every week.” – Privatus Karugendo, Raia Mwema.
Hii ni maalumu kwa wale ambao hata hawawezi kupiga dana-dana; kuna vitu viwili-vitatu vya kujifunza ili ‘ball control’ iwe makini! Kwa mfano, kutuliza mpira ‘gambani’…
To create the visualisation, the team consulted over 100 articles on HIV from leading science journals and talked to experts in the field.
Mengi yameripotiwa kwenye vyombo vya habari kuhusu matetemeko ya ardhi na tsunami nchini Japani. Na Fukushima, ambapo kuna mitambo ya kuzalisha nishati ya nyuklia, imekuwa kwenye vichwa vya habari kwa takribani wiki nzima.
“Usitegemee mkono wa kulia tu kwa kufanya kazi zako siku zote. Uwezeshe mkono wa kushoto pia, ili pale wa kulia utakapochoka, ama kupata jeraha na kushindwa kufanya kazi, basi wa kushoto uendelee; ili usikwame.”
Angalia kwa makini “others” na “unclassified”… Je, unadhani bajeti yetu ina uwiano unaoakisi hali halisi?
This talk is neither about women v. men, nor about feminism v. masculinism.
…at this powerful moment when people realized they could step out of their houses and ask for change.
Hivi, tuna utashi na nia thabiti ya kudhibiti ukosefu wa ajiri kwa vijana nchini?
It is already known that justice delayed is justice denied – is it fair to fair to say that the same is applied for news?
(w. English subtitles) Sikiliza nasaha za Simoni Ng’Ushani, kiongozi wa jamii ya Parakuyo kutoka Kibirashi.
Mhariri wa tovuti hii aliitwa kwenye kikao cha faragha kilichokuwa na kusudi la kusafisha jina “Dowans” nchini.
“Bila kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila ya kujali mipaka ya nchi, na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.”
Wanaoishi ili wale wana bunduki; wanaokula ili waishi wana mawe. Wanaokula ili waishi watoke vipi?
Kiitikio cha wimbo kinagusia mahusiano ya sanaa na jamii tu. Lakini neno ‘propaganda’ huhusishwa na siasa zaidi…
Zoezi rasmi la kuchambua tungo bora zenye nasaha kwa jamii linaanza kwa uchambuzi wa wimbo wa Fareed Kubanda ‘Propaganda’. Tuzame kwenye ushairi pamoja, halafu tuone tutaibuka na nini.