Sikukuu njema
Wosia wa Baba wa Taifa.
Magirini anaendelea kutusimulia kisa cha mambo yaliyotokea usiku wa tarehe 15 Novemba, 2002.
Mambo yaliyonishtua kwenye hizi wiki chache zilizopita: mawazo ya vijana wa Tanzania ughaibuni, kuzorota kwa wa elimu Tanzania na ‘kuzimwa’ kwa chombo cha Ushahidi.
Kisa kutoka kwa kijana anayeitwa Magirini; yaliyotokea tarehe 15 Novemba, 2002.
The 48 year old mother left behind family and friends in Ghana to seek work as a nurse in the UK.
In April 1994, the world watched in horror as the central African state of Rwanda tore itself apart.
Angalia hii video mara mbili, halafu uliza wenzako kama wanadhani kupiga kura ni ufala.
Some of us might have come across her unique political articles on The East African; some through her blog the Mikocheni Report… We caught up with her to ask her about her blog, Tanzanian media and youths.
Shukrani kwa waliojitolea kutafsiri taarifa muhimu kwa ajili ya wanaozungumza Kiswahili.
Akundaeli presents Flava Vol 2 mixtape, with new music from Diamond, Sajna, AY, Mwana-FA, Ray C, Chegge,Tip-Top Connection and many more.
Are we a whining nation? Why do we see the same old people in the government?
…pale maji yanapotufika shingoni Vijana wa Tanzania. Hii makala iliandikwa Aprili 12, 2010; wakati ‘vuguvugu’ la siasa bado halijaanza. Sijabadilisha hata neno moja.
Mjomba Mrisho Mpoto, hii ni kwa ajili yako. Tunakuombea upate faraja kwenye kipindi hiki kigumu.
Nadhani tutaweza kukutumia vizuri zaidi kwenye mapinduzi tunayotaka kuyaleta Tanzania.
(w. Englist subtitles) Ujumbe, nasaha, hali halisi; ubunifu, vipaji, taaluma; ubora, umakini na kupenda kazi. Haya ndio matokeo yake.
Ila kuna wanaojaribu kujadili changamoto zinazotukabili kwa kina, na kuna wale wanaoangalia tu picha juu juu.
Nadhani siku mbili tatu zilizopita tumekuwa na mambo mazito sana hapa. Muda wa kazi umepita; sasa ni wakati wa dawa.
(w. English subtitles) Tuliosikia tu yanayoendelea Mererani, tunajua hali halisi ilivyokuwa?
Hayo ndio maneno ya Tanesco kwa Watanzania. Mimi sio mchumi, kwahiyo ningependa kusikia maoni ya wataalamu kwenye hili suala.