Sikiliza hoja za aliyeandika mistari ya ‘Bongo Flava’ kwenye mtihani
Msikilize kijana Julius kwa makini kisha jiulize kama michango tu inayotolewa “kumsaidia” italeta mabadiliko kwenye sekta ya elimu Tanzania.
Msikilize kijana Julius kwa makini kisha jiulize kama michango tu inayotolewa “kumsaidia” italeta mabadiliko kwenye sekta ya elimu Tanzania.
Today we learn of a journey from St. Francis Girls Secondary School to Jacobs University.
Kwa mliosoma Tanzania, nadhani mtaguswa mkiangalia filamu fupi inayoonyesha tofauti kati ya shule tatu za msingi za jiji la Dar es Salaam.
Wanasayansi wanaofanya utafiti kufahamu mbinu ambazo mdudu wa malaria (Plasmodium) anatumia kuepuka mfumo wa kinga wa binadamu hivi karibuni wamezindua mfululizo…
TEDxDar 2011 was held yesterday at the National Museum in Ilala. The speakers ranged from musicians, a politician, a scientist, an educator, a journalist, a former athlete and more. Here is a brief summary of what happened.
Ni muhimu sana kwa vijana kuweka tofauti zao pembeni — mathalani tofauti za kiitikadi za kisiasa — na kuungana pamoja kuhakikisha wanang’amua ajenda zao kama kundi na kuzisimamia ipasavyo katika mchakato unaoendelea kuelekea uandikaji wa katiba mpya nchini.
Katika makala haya tatawamulika vijana kupitia mtazamo wa falsafa ya “vijana nguvu ya mabadiliko” na kuchambua kwa kina juu ya msukumo binafsi wa kijana wa Kitanzania juu ya uhitaji wake wa mabadiliko na nafasi yake katika kuleta na kuendeleza hayo mabadiliko.