Njia 5 za kupata wateja kwa urahisi na haraka Upwork
Je umejiunga Upwork hivi karibuni na unajiuliza ni jinsi gani utapata wateja? Usiwe na mawazo mengi hizi hapa ni njia 5 za jinsi ya kupata wateja kwa haraka na urahisi Upwork.
Je umejiunga Upwork hivi karibuni na unajiuliza ni jinsi gani utapata wateja? Usiwe na mawazo mengi hizi hapa ni njia 5 za jinsi ya kupata wateja kwa haraka na urahisi Upwork.
I have recently noticed that I check my emails constantly post my work hours and that blurs the line between work and life, I have decided to put in place these 3 ways to reinforce the boundary between work and my social life when it comes to checking emails.
Kama wewe ni mfanya biashara basi ni muhimu kuitumia WhatsApp Business ipasavyo kuiendesh biashara yako kidijitali. Hizi hapa ni namna kadhaa za kufanya hivyo.
Ally Ahmad Doo ni mkurugeni wa shirika la MRC Tanzania abao wana mradi wa sober house kwaajili ya kuwapatia matibabu na msaada waathirika wa uraibu wa mihadarati Tanzania. Tulipata nafasi ya kumuuliza maswali matano kuhusu kazi yao na shirika lao, na haya ndio aliyoyasema.
Elimu ya Tanzania ina lengo la kuleta maendeleo katika jamii yetu. Ili jamii iendelee kuna umuhimu mkubwa wa kutumia elimu…
G3tta ni msanii mwenye uwezo wa kurap na kuimba. Soma interview aliyofanya na VijanaFM hapa
Mussa Omary ni kijana nyuma ya nafeeltz, akaunti ya Instagram inayoelezea hisi na afya ya akili kwa uwazi. Haya hapa ni majibu ya interviw tuliyofanya naye.
Jacqueline Shuma ni mwanahabari mwenye shahada ya Mawasiliano ya Umma (Bachelor of Arts in Mass Communication) aliyoipata pale St Augustine…
Tangu dunia iingine katika mfumo mpya wa sayansi na teknolojia, yapo mambo mbali mbali ambayo yamebadilika katika jamii yetu. Dunia…
Alex Patrick Achimpota, ni muhitimu wa shahada ya kwanza katika maendeleo ya fedha na uwekezaji chuo cha Mipango Dododa. Kwasasa…
Elineema L Mauki ni mhandisi na mbunifu/mwanzilishi wa Najali Reusable Sanitary Pads. Tulipata nafasi ya kusikia kutoka kwake kuhusu ubunifu…
Eileen Mwalongo ni Mtanzania na mwanafunzi wa Diplomasia katika Chuo cha Vistula nchini Poland. Eileen amekuwa akijihusisha na masuala mbalimbali…
Fanuel Kiano ni mwanafunzi wa Computer Science and Technology kutoka Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere, Dar es salaam. Pia ni…
Joseph Taifa Sanga ni mhandisi na mwanzilishi wa Taifa Innovations ambao ni wavumbuzi na watengenezaji wa vifaa mbalimbali vya kibunifu…
Noel Wensteslous Mpolenkile ni mwanachuo wa Sokoine University of Agriculture, akisoma kozi ya Veterinary Medicine and Biomedical Sciences akiwa mwaka…
Josephine Mumwi ni mwanamitindo Mtanzania anayefanya vizuri katika anga za kimataifa kwasasa.
EzyTrade Africa ni platform ambayo unaweza kufanya manunuzi ya bidhaa mbalimbali ukiwa nyumbani na simu yako.
Mussa ni mdau wa maendeleo hasa kwa vijana na wajasiriamali. Amekua akishiriki shughuli tofauti za kimaendeleo kupitia kazi zake rasmi…
Faidha Ngaga ni muhitimu wa shahada ya Mawasiliano kwa Umma (B.A Mass Communication) na pia ni mwandishi wa habari kwa…
Kitu rahisi unachoweza kufundishwa na waliofanikiwa ni kujikubali. Kuwa na imani na wewe mwenyewe kwanza, kwa kupenda unachofanya na kukithamini….
Hakuna vita ngumu kupigana kama ile ambayo humjui adui yako, kila anayekuja maishani mwako unaweza kuona ndio kikwazo cha wewe…
Richard Nchimbi, kwa jina la sanaa anajulikana kama Mucho Flows ni msanii wa muziki wa kizazi kipya akiwa tayari na…
Chausiku Foundation ni taasisi iliyoweza kugundua mashine aina ya “ATM” ambayo inauwezo wa kutoa pedi kwa ajili ya matumizi ya…
Abel Stanley Shoo ni Muanzilishi na Mkurugenzi mtendaji wa Gengeni Delivery App. Gengeni Delivery App inajihusisha na nini na ulipata…
Salamu kwa wahitimu wote mliofanikiwa kumaliza chuo mwaka huu. Kwanza poleni kwa kazi kubwa mlioifanya, hakika kumaliza chuo kwa kiwango…
Nadhani kitabu sio kitu kigeni masikioni kwa watu wote. Uwe mvivu au usiwe mvivu, uwe msomi au usiwe msomi ila…
Alfan Athuman Kiyanga ni mchezajia wa timu ya Taifa ya walemavu na klabu ya LSL. Pia anamiliki tuzo ya Mfungaji…
Neema Loth ni ni afisa habari na mahusiano kwa umma, pia ni mwazilishi wa Digital Detox Tanzania. 1. Nini ni…
Neema A. Magimba ni wakili wa mahakama Kuu ya Tanzania na pia ni mwazilishi shiriki wa Sheria Kiganjani. 1. Kwa…
Katika kipindi hiki cha COVID-19, mambo mengi yamebadilika sana. Dunia haipo sawa tena kama zamani. Kila kitu kimekuwa tofauti, mienendo…