Tuzo za waandishi wa habari Afrika
Mwandishi wa habari kutoka Afrika Kusini, Sam Rogers , (Mtengenezaji wa Filamu za Factuals — kitengo cha Uhalifu na Uchunguzi)…
Mwandishi wa habari kutoka Afrika Kusini, Sam Rogers , (Mtengenezaji wa Filamu za Factuals — kitengo cha Uhalifu na Uchunguzi)…
Kama ulidhani kuacha kuvuta sigara na kunywa pombe wakati u umjazito itakuhakikishia usalama wa afya ya mtoto wako, fikiria mara…
Na “Mtu Fulani“ Kama kawaida yangu, napata habari sahihi kutoka kwenye tovuti yangu ya Wavuti huku nikipiga mzigo. Nikipata upenyo…
Kuna baadhi ya mambo unayaona au kuyasikia na hukupa motisha ya aina fulani – hasa yanapotokea nyumbani. Kitu muhimu zaidi…
Leo hii sanaa bado haijapewa heshima na kipaumbele kama inavyotakiwa, pamoja na sanaa kuwa kioo cha jamii. Tovuti na blog…
Msanii mkongwe Sugu au kama alivyokuwa akifahamika enzi zile kama Mr II anakuja na album itakayoitwa antivurus. Mixtape hii itakayoshirikisha…
na Lars Johansson (with English subtitles) Kama mjuavyo, idadi ya vifo vya watoto wachanga nyumbani kwetu ni kubwa mno. Filamu…
Na Lars Johansson (with English subtitles) Hii ni hadithi kutoka kwenye kambi ya wakimbizi Kanembwa, Tanzania. Katika filamu hii, Noe…
by Lars Johansson (with English subtitles) Video clips from six Maweni Farm documentaries from Tanzania, Kenya and Nigeria, prepared for…
Na Lars Johansson (with English subtitles) Ufuatao ni mkusanyiko wa filamu fupi kadhaa wa mambo yanayotokea kwenye vijiji vilivyopo karibu…
Na Lars Johansson (with English subtitles) Kifuatacho ni kisa cha dada Elisa kutoka Uwanja wa Fisi. Nadhani wengi wetu tumeshaiona…
Kwa wale ambao walikuwa wanafuatilia hadithi fupi hapa Vijana FM (unaweza ukazipata hadithi za awali hapa), nataka kuwataarifu kuwa zoezi…
Kucheza gololi, matairi, magari ya makopo, cha ndimu (angaisha bwege, tobo bao na gombania goli), kutengeneza manati na kuwinda ndege,…
Jumapili iliyopita lile tamasha la kuhamasisha Vijana wa Kenya (hasa wa Kibera, Nairobi) kufuatilia mabadiliko ya katiba lilifanyika. Na ifuatayo…
Na VR Kwa muda mrefu nimekuwa nikiumia roho mno kwa jinsi watu kutoka Afrika tunavyolundikwa kwenye kundi moja kiasilia. Kukiwa…
Hatimaye kile kimya cha muda mrefu cha Nakaaya Sumari kimeisha. Baada ya da’ Nakaaya kuanzisha blog yake na kutangaza kujiunga…
Studio ya Backyard ya jijini Dar es Salaam inatoka na changamoto kabambe kwa wasanii wa muziki wa aina yote. Backyard…
As-Salaam Alaikum Vijana. Takribani miezi mitatu iliyopita, blogs zetu zilijaa taswira za wananchi wenzetu walioathirika na uchafuzi wa mazingira –…
Na Japhet Joseph Mashindano makubwa kabisa duniani ya mpira wa miguu – au kama wengine wanavyouita macharange au kabumbu –…
Leo hii nimekumbana na habari hii inayohusu kipindi hiki kinachoitwa Za Newz cha Afrika ya Kusini. Kipindi hiki kinafanana na…
Brazil are to play friendly matches against Tanzania and Zimbabwe before heading into the World Cup in South Africa The…
Particles. Mlipuko. Mlundiko wa data. Haya ndio yatokanayo kwenye matembezi niliyofanya na wenzangu kwenye saiti ya tafiti ghali kuliko zote…
Tumepata waraka huu kutoka kwa mmoja wa wasomaji wa Vijana FM (Japhet Joseph): Tanzania Commission for Universities (TUC) ilibadilisha utaratibu…
Kuna mambo nyeti ambayo hupaswa kuangaliwa na kujadiliwa kwa utulivu wa hali ya juu. Hatuna budi kujaribu kuweka hisia na…
I have to admit that I first heard of K’naan – and listened to his lyrics carefully – in the…
Nimefurahi kuwa leo nimejifunza kitu kipya. Inaonekana kuwa Vijana wenzetu wako karibu na viongozi wetu. Na cha muhimu zaidi ni…
Badilisha is a project of the Africa Centre, which promotes Pan-African poets through: Badilisha Poetry Radio, the only poetry podcasting…
Haya jamani, wale ambao tulikuwa tunalalamika kuwa kupata CDs kutoka Bongo ni mbinde… Album ya mzee mzima Fid Q, Propaganda…