Propaganda zipo kwenye mtandao
Haya jamani, wale ambao tulikuwa tunalalamika kuwa kupata CDs kutoka Bongo ni mbinde!
Haya jamani, wale ambao tulikuwa tunalalamika kuwa kupata CDs kutoka Bongo ni mbinde!
Msomaji, nadhani wewe ni mmoja wa watu ambao wamebahatika kupata elimu. Je, unadhani unaitumia elimu yako na ujuzi wako ipasavyo?…
Juhudi za wasanii wetu kujaribu kuvuka mipaka zinatia moyo na nadhani zimeanza kuzaa matunda. Njia mojawapo ni kutumia lugha ambayo…
Wanasema, la mgambo likilia ujue kuna jambo, na mimi leo nauliza kulikoni wasanii wa muziki huu wa bongo flava?. Majuzi…
Jana nilipata fursa ya kujikumbushia nyimbo za Hasheem. Sizungumzii Hasheem huyu — namuongelea Dogo! Wakati nasikiliza freestyle inayoenda kwa jina…
Wiki chache zilizopita, tulikuwa na mjadala hapa kuhusu Dambisa Moyo na ujumbe wake kuhusu athari za misaada ya maendeleo katika…
Anaitwa Loise van Baarle, mchoraji chipukizi kutoka Uholanzi. Hapa chini waweza tazama moja ya kazi zake, katuni fupi kuhusu mapenzi…
Kama mtu na kijana mwingine yoyote, kuna siku ambazo mawazo yako hurandaranda kujaribu kutafuta majibu ya mambo mbalimbali. Je, umeshawahi…
Picha kwa hisani ya National Geographic* Kuna baadhi ya tafiti ambazo zinasisimua, ilihali uwezekano wake wa kuzaa matunda katika mazingira…
Msomaji, nina uhakika unajua tarehe yako ya kuzaliwa. Lakini sijui kama unakumbuka mambo yaliyokuwa yanajiri wakati mama yako anajifungua. Kumbukumbu…
Yah: Shukrani kwa Mh. Mrisho Mheshimiwa Mrisho nashukuru sana kupata ujumbe wako wa msamaha, umefika na nimeukubali, kwani moyo sio…
na Lisa Boyd [A similar article in English can be found here. Do not hesitate to comment in English, too!]…
Picha za vitendo vya ushirikina na uchawi nilizoziona kwenye blogs mbalimbali wiki iliyopita bado zipo kwenye mawazo yangu. Kuandika makala…
Jezi za timu zetu zilikuwa hazina majina ya wachezaji migongoni (na tunajua kwanini ilikuwa mwiko kwa wachezaji kubadilishana jezi baada…
Mkutano wa Kili Music Awards uliofanyika majuma kadhaa yaliyopita ulitoa nafasi nzuri kwa wasanii kutoa maoni na madukuduku yao juu…
Takribani miaka miwili iliyopita watu kutoka kila kona ya dunia walikuwa wanazungumzia utafiti wa fizikia uliokuwa unaanza Geneva kutumia Large…
Nchini Afrika Kusini mapambano ya kupunguza vifo kutokana na Ukimwi yameingia sura mpya. Wenzetu wameanza kutumia huduma ya simu za…
…pale maji yanapotufika shingoni Vijana wa Tanzania.Kuna mambo ambayo hujiri na yataendelea kujiri kwenye jamii yetu kila kukicha. Baadhi ya…
Kilimota kama 5 hivi kutoka Morogoro mjini, pembezoni mwa mlima Uluguru, kuna shule moja maalumu yenye wanafunzi wenye vipaji. Wanafunzi…
Our bongoflava DJ in San Jose us Reggae Beats volume 2! Download the mix for free here. Thanks, Akundaeli […
Kuna wakati wasanii nyumbani walikuwa wanategemea vituo vikubwa vya redio – hasa Clouds FM – kuamua mafanikio ya kazi zao….
Naamini Vijana wengi ni mashabiki wakubwa wa katuni. Bila shaka utakuwa unakumbuka enzi zile jinsi kila Alhamisi ilivyokuwa ina raha…
Jina: X Plastaz!…Kazi: Hip-hop!…Nyumbani: Arusha! Unategemea kijana wa kawaida mtaani kutoka Tanzania – ukiacha Arusha – atawajua X Plastaz kwa…
Msanii Afande Sele alipataga kutunga wimbo uliotwa, “darubini kali”, ambao ulimwongezea umaarufu hadi kumsaidia kushinda tuzo ya Mfalme wa Rhymes….
Tuliposikia Hasheem kapelekwa D-League Watanzania wengi tulishtuka. Ubaya au uzuri wa tukio hili ni kwamba – kutokana na habari zinavyotapakaa…
Baada ya kulivalia njuga hili suala nazidi kupata taarifa zaidi kila kukicha. Na mimi sisiti kuwapa taarifa Watanzania wenzangu na…
Asalaam-aleikum Vijana wenzangu! Unapoona picha za watu wanavyoathirika kutokana na uzembe, tamaa, uchoyo na ukatili wa binadamu wengine (angalia nakala…
Leo nitaendelea na pale nilipoishia na ile changamoto ya kwanini na sisi tusianzishe Khan Academy zetu. Jambo la elimu na…
Niliambiwa kuwa fimbo ya mbali haiuwi nyoka! Lakini nakumbuka kuwa niliandika insha kadhaa kubatilisha baadhi ya methali na nahau zetu…
Fid Q kama wasanii wengine wa hip hop/ bongo flava, wameanza kuchanganya lugha, yaani Kiingereza na Kiswahili katika nyimbo zao.