Ripoti kamili ya udaku
Uandishi wa habari za upekuzi.
In April 1994, the world watched in horror as the central African state of Rwanda tore itself apart.
Angalia hii video mara mbili, halafu uliza wenzako kama wanadhani kupiga kura ni ufala.
Tunafanyia kazi chombo cha Ushahidi ili kurahisisha zoezi zima la kuweka kwenye ramani mawazo na uzoefu wa vijana wakati wa Uchaguzi Mkuu Tanzania 2010.
The Mwalimu Nyerere Professorial Chair in Pan-African Studies is organizing the Vice Chancellor’s Palaver scheduled to take place at Nkrumah Hall on 14th October, 2010 (Nyerere Day), from 9.00am to 3.00pm
Shukrani kwa waliojitolea kutafsiri taarifa muhimu kwa ajili ya wanaozungumza Kiswahili.
Akundaeli presents Flava Vol 2 mixtape, with new music from Diamond, Sajna, AY, Mwana-FA, Ray C, Chegge,Tip-Top Connection and many more.
Video hii fupi inaibua maswali na kuchochea mjadala kuhusu mambo yanayowatokea vijana wengi katika jamii.
A much-needed study illustrates the urgent need for reform in Tanzania’s education policies.
Bongo flava artists Nas Wakitaa feat. Stiuz R&B, Mad P, and Dr. O team up to put this sampler out, courtesy of SEI Records.
…pale maji yanapotufika shingoni Vijana wa Tanzania. Hii makala iliandikwa Aprili 12, 2010; wakati ‘vuguvugu’ la siasa bado halijaanza. Sijabadilisha hata neno moja.
Nadhani tutaweza kukutumia vizuri zaidi kwenye mapinduzi tunayotaka kuyaleta Tanzania.
BBC recently aired a debate between the campaign manager of CHADEMA Prof. Baregu and that of CCM, Abdulrahman Kinana. Kiranga our guest contributor projects his views.
We ought to look beyond the indoctrination of our children with party-politics.
The best teachers and schools do not exist where they are needed most. Can work-group computers help?
(w. Englist subtitles) Ujumbe, nasaha, hali halisi; ubunifu, vipaji, taaluma; ubora, umakini na kupenda kazi. Haya ndio matokeo yake.
Nadhani siku mbili tatu zilizopita tumekuwa na mambo mazito sana hapa. Muda wa kazi umepita; sasa ni wakati wa dawa.
(w. English subtitles) Tuliosikia tu yanayoendelea Mererani, tunajua hali halisi ilivyokuwa?
Hayo ndio maneno ya Tanesco kwa Watanzania. Mimi sio mchumi, kwahiyo ningependa kusikia maoni ya wataalamu kwenye hili suala.
Ongezeko la wawekezaji wa Kichina barani Afrika, ni baraka au balaa lililojificha? Au ndio suala la karibu mgeni wenyeji tupone.