Bahari Beach
Baada ya kuona Kigamboni itakuwaje baada ya miaka 20, angalieni mpango wa Bahari Beach.
Baada ya kuona Kigamboni itakuwaje baada ya miaka 20, angalieni mpango wa Bahari Beach.
“Halafu wanatuambia ati mambo ya kupanga uzazi. Hauwezi kula ‘switi’ ikiwa na karatasi.. ‘Switi’ inakuliwa ikiwa ‘switi’ ndio usikie utamu yake!”
Nilikuwa nasita kuweka hii filamu fupi hapa kwa sababu mbalimbali. Niambieni, kwanini mnanda au mchiriku haupewi nafasi kubwa?
Kuna mijadala iliyopita ambayo nadhani wengi wenu itakuwa sio vibaya mkiipitia. Pia, kuna mambo mengine lukuki hapa…
(w. Swahili subtitles) Seems like this week is all about “wanawake wa shoka”! It’s Ms. Mahiga’s turn today!
… and Tanzania and Uganda. Chang’aa, gongo, waragi; abuse in East Africa is ravaging the population and the economy.
“Niguse bahati mbaya; nikuumize makusudi,” Imam Abbas kwenye wimbo wake ‘Bila Sanaa.’ Wanadamu wenzangu, mbona utu umetukimbia?
Makala za Jenerali zina mvuto wake. Wiki hii anaongelea mambo ya wahusika kuvuliwa uraia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; na yeye yalimkuta, kama unakumbuka…
“Utahema vipi, una panga shingoni? Bora ubaki utotoni; Bongo motoni!”
Sauti kutoka Afrika. Hata kama huelewi, kuna mzuka fulani unaupata ukisikiliza nyimbo zao.
Niliiona hii picha kwenye blog ya Udadisi wiki iliyopita, na kusema ule ukweli nimeshindwa kuiondoa kwenye fikra zangu.
Amil Shivji shows us a day in the life of Bibi Aminajati Kalema at Hiari Orphanage in Chang’ombe, Dar-es-Salaam.
Kama unapenda kufuatilia teknolojia mbalimbali za mawasiliano, nadhani hii filamu itakufaa (au kukukumbusha mbali!).
Wapenzi wa Bongo Hip Hop hatuna budi kumshukuru Mungu kwa kutuletea Fareed Kubanda Tanzania… tarehe 13 Agusti miaka “kibwena” iliyopita! Happy birthday, Fid Q!
Kuna wakati lugha ya upole haifanikiwi kuwasilisha ujumbe. Jenerali nadhani amekerwa kupitwa kiasi na anayoyaona na kaamua kutumia maneno yafuatayo wiki hii: kinyaa, kichefuchefu, kutapika, uoza, upuuzi na uhuni.
Makala hii itaanza kwa kukuvunja mbavu, lakini inapoelekea…; “Mzee wa Busara” Jenerali anawanyooshea kidole watu ambao bila shaka anawafahamu. Lazima kuisoma!
Picha za shughuli za kampeni kutoka kwenye majimbo ya Milingwano, Mgwashi, Baga, Mamba na Bumbuli zimeniacha na tabasamu.