Street Food – Zanzibar
Zanzibari culture and politics
Ni makala ambayo kila mfuatiliaji wa mwenendo wa demokrasia changa ya Tanzania anapaswa kuisoma. “Mtikila ni shujaa; uteuzi wa wakuu wa mikoa na uwaziri hudhoofisha utawala; Mzee Ruksa na Mtikila wanakutana mahali pamoja…”
Ryaaaa! Ryaaaa!… Kama mlidhani mjadala uliopita ndio ulikuwa wa mwisho, someni dukuduku la Msemakweli.
Lile sakata la barabara ya Serengeti limeripotiwa kikamilifu kwenye gazeti la wiki hii la Raia Mwema! Kama hiyo haitoshi, ripoti – ambayo kwa mtazamo wangu ni muhimu mno – imetumwa kwa Rais Jakaya Kikwete na Waziri wa Maliasili na Utalii, Shamsa Mwangunga.
Tuwekeni visingizio pembeni. Maisha yetu ya baadae hayana budi kujengwa sasa hivi. Nina uhakika vijana wengi hamtaisoma hii makala kwasababu tu ni “ndefu”!
Today we hear from the east and the west of the globe.
Historia ya Nelson Rolihlahla Mandela, kwa maneno yake mwenyewe — kwa kifupi
(w English subtitles) Kabla ya Kombe la Dunia kuanza, watu kutoka kila kona ya Afrika walianza kumiminika Afrika Kusini ili kujipatia ajira. Tunajua kilichotokea…
A summary of frequently asked questions (FAQs) by prospective Tanzanian students with answers provided by peers in universities across the globe.
Idadi ya watu wanaotembelea tovuti hii imeongezeka, na nimeona itakuwa jambo la busara sana nikikumbushia harakati na juhudi za Salman Khan kutoka India.
(w. English subtitles) Sijui ukiona au kusikia mambo kama yaliyopo kwenye hii filamu unajisiakiaje? Unazima tarakilishi na kwenda kulala? Huguswi? Hujisikii kufanya lolote lile kuwasaidia watu kama hawa?
Not to jump on the CCM bandwagon, but perhaps once in a while we ought to look on their positive outcomes.
Hekima kutoka kwa gwiji wa fasihi ya Kiswahili, hayati Shaaban Robert. Msisitizo: Kipindi husika – miaka 15 kabla ya uhuru!
Wakati watu Uingereza wakijiuliza ilikuwaje Cheryl ‘Cole’ akapata malaria kwenye safari zake Tanzania, hebu tuangalie jinsi watu wa Ifakara wanavyojitahidi kupigana na malaria.
(w. English subtitles) Filamu ifuatayo itakuonesha wapi mitumba inapotoka na inatufikiaje Afrika; kutoka Ujerumani hadi Tanzania.
Kijana, tafakari ujumbe huu muhimu kutoka kwa gwiji wa lugha ya kiswahili hayati Shaaban Robert. Sura hii imetolewa kwenye kitabu “Maisha yangu na baada ya miaka hamsini”, kilichochapishwa mwaka 1966 na Thomas Nelson and Sons, Ltd. Tafadhali kitafute!