Habari zilizofanyiwa utafiti
Niliwaahidi kuwaletea kazi za John-Allan Namu, mwandishi wa habari wa KTN, aliyetunukiwa tuzo ya Mwandishi Bora Afrika, 2009.
Niliwaahidi kuwaletea kazi za John-Allan Namu, mwandishi wa habari wa KTN, aliyetunukiwa tuzo ya Mwandishi Bora Afrika, 2009.
Eight Kenyan cartoonists give their take on the issue of ethnicity in politics, social and love relationships.
Hii ni maalumu kwa watu wanaopenda kuja Vijana FM — hasa wanaopenda kujua wenzao wanatoka wapi.
Wakati kila mtu akijiandaa kuchukua fomu ili kugombea nafasi kwenye Bunge, Kadogoo naye hayuko nyuma!
Mixtape hii imeibua hoja kadhaa, moja ikiwa ya uhusiano kati ya redio na wasanii, pamoja na nafasi ya redio katika kukuza sanaa na hata nafasi ya redio kuua sanaa.
Ukiona uso wa fisi unaweza ukadhani hajui kulea watoto wake. Kumbe hadi wanyama wanadekeza watoto wao!
Wale ambao mnawajua fisi vizuri, mtakubaliana nami kuwa ni wabishi… Hasa kwenye suala la mlo. Kisa cha twiga na fisi kutoka Serengeti.
Wahenga walisema umoja ni nguvu… Angalia kisa cha nyati na simba kutoka Ngorongoro.
Vyakula, mitaa, marashi, muziki, mandhari na utashi wa Zenji. Sauti murua na nyororo utakayosikia kwenye filamu ya kwanza ni ya malkia mrembo Bi. Kidude.
Matatizo wanayoyapata dada zetu Afrika Mashariki ni yaleyale. Lakini tunajifanya kama hatuyaoni… Angalia kisa cha binti mmoja kutoka Malindi anayefanya biashara ya ‘kujiuza’.
Ingawa nina mapenzi na timu na mpira wa Afrika, nahisi kama Kombe la Dunia linaanza rasmi leo. Taswira za siku 15 zilizopita kutoka Afrika Kusini…
Baada ya kazi nzito, tafuta kinywaji, kaa kwenye kochi na angalia uzuri wa mbuga za Tanzania.
Kuna propaganda nyingi kuhusu watu wanaojitoa muhanga na kujilipua, hasa kutoka kwenye vyombo vya habari vya nchi za Magharibi. Lakini umeshawahi kujiuliza: Hivi, wanajaribu kutafuta chanzo?
Ndugu Rusesabagina aliamua kuwa mkimya kwa muda mrefu, lakini hatimaye ameamua kuzungumza na vyombo vya habari.
Harakati za Winston Churchill na timu yake nzima ya TAMASHA-Vijana.
Mara nyingi mambo mengi tunayojadili kuhusu Hip Hop tunakuwa kama tuna speculate tu. Kwahiyo, tunayoongelea kwenye kijiwe hiki ni tofauti na yatakayoongelewa kwenye kijiwe kingine kutokana na sababu kadhaa.
Leo nimepata fursa ya kuperuzi bajeti yetu… Bahati mbaya bajeti yetu nd’o hivyo tena.
Kuna mjadala umejitokeza kuhusu kurudishwa kwa mpango wa National Service kwa vijana.
This is one of the finest uplifting tunes I have ever heard. Trust me, it’s not just a hype.
Utafiti umeonyesha kuwa mbu wanaosababisha malaria wanavutiwa mno na harufu ya aliyekunywa bia.
Hayo sio maneno yangu, jamani! Ni kichwa cha habari cha mtiririko wa makala za Jenerali Ulimwengu kwenye gazeti la Raia…
Lyrics: Zum zum zum,Eeeeh mama nyuki lia we. Zum zum zum,Eeeeh mama nyuki lia we. Toka mbali, kutafuta, ua zuri,…