Officially on WordPress now
Admin announcement on Vijana FM’s new home.
Mo Ibrahim Foundation gives out no prize for governance for the second year in a row.
Harakati za Winston Churchill na timu yake nzima ya TAMASHA-Vijana.
Tanzania’s Education and Career Exhibition will bring together Primary and Secondary Schools, Colleges, Tertiary Institutions and Universities in Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi.
Mara nyingi mambo mengi tunayojadili kuhusu Hip Hop tunakuwa kama tuna speculate tu. Kwahiyo, tunayoongelea kwenye kijiwe hiki ni tofauti na yatakayoongelewa kwenye kijiwe kingine kutokana na sababu kadhaa.
The size of the word reflects how often it was used in the 2010/2011 budget speech (wordle.net) a 74 page…
Amos Winter, mwanafunzi wa shahada ya uzamivu pale MIT, Marekani yuko njiani kuwekeza matokeo ya elimu yake katika kusaidia walemavu wa nchi maskini.
Your social enterprise has a cool event or story it wants to share with the world. Perhaps the first conference…
Leo nimepata fursa ya kuperuzi bajeti yetu… Bahati mbaya bajeti yetu nd’o hivyo tena.
Kuna mjadala umejitokeza kuhusu kurudishwa kwa mpango wa National Service kwa vijana.
Utafiti umeonyesha kuwa mbu wanaosababisha malaria wanavutiwa mno na harufu ya aliyekunywa bia.
Submitted by Jean-Marie Vianney Habarugira With the 2010 World Cup set to begin later this week, eyes are turning toward…
Design For the First World is a competition that allows Individuals in developing countries aged 13 and up to participate…
Na “Mtu Fulani“ Kama kawaida yangu, napata habari sahihi kutoka kwenye tovuti yangu ya Wavuti huku nikipiga mzigo. Nikipata upenyo…
Kuna baadhi ya mambo unayaona au kuyasikia na hukupa motisha ya aina fulani – hasa yanapotokea nyumbani. Kitu muhimu zaidi…
I am glad that, technology is picking up the pace in helping farmers, for example to find potential buyers/ markets…
I just came across this DailyNews article about there being no local Tanzanian referees to run the Taifa Stars vs….
I work for a strategic communications firm that caters to a strictly non-profit clientele; as such, I have had to…
A new event is being born on Madaraka Day 1st June. Kibera Good Governance Festival will be held just outside…
I was inspired by SN’s post about the TEDxDar statistics on Tanzania. In case anyone’s looking, here are two solid…
Hatimaye kile kimya cha muda mrefu cha Nakaaya Sumari kimeisha. Baada ya da’ Nakaaya kuanzisha blog yake na kutangaza kujiunga…
Studio ya Backyard ya jijini Dar es Salaam inatoka na changamoto kabambe kwa wasanii wa muziki wa aina yote. Backyard…
Jamani, jamani! I couldn’t just keep to myself what I came across just a few minutes ago. And I believe…
Unakumbuka visa vya akina Komredi Kipepe, Dr. Love Pimbi, Lodi Lofa, Ndumi la kuwili na Madenge kwenye gazeti la SANI…
As-Salaam Alaikum Vijana. Takribani miezi mitatu iliyopita, blogs zetu zilijaa taswira za wananchi wenzetu walioathirika na uchafuzi wa mazingira –…
Na Japhet Joseph Mashindano makubwa kabisa duniani ya mpira wa miguu – au kama wengine wanavyouita macharange au kabumbu –…
Leo hii nimekumbana na habari hii inayohusu kipindi hiki kinachoitwa Za Newz cha Afrika ya Kusini. Kipindi hiki kinafanana na…
Mzazi: We Sikuzani, embu acha hiyo! Mtoto: Kwanini!? Mzazi: Kwasababu nimesema! Haya ndio yaweza kuwa majibizano mafupi katika familia nyingi…