Mama na mwana
Ukiona uso wa fisi unaweza ukadhani hajui kulea watoto wake. Kumbe hadi wanyama wanadekeza watoto wao!
Ukiona uso wa fisi unaweza ukadhani hajui kulea watoto wake. Kumbe hadi wanyama wanadekeza watoto wao!
Wale ambao mnawajua fisi vizuri, mtakubaliana nami kuwa ni wabishi… Hasa kwenye suala la mlo. Kisa cha twiga na fisi kutoka Serengeti.
Wahenga walisema umoja ni nguvu… Angalia kisa cha nyati na simba kutoka Ngorongoro.
Vyakula, mitaa, marashi, muziki, mandhari na utashi wa Zenji. Sauti murua na nyororo utakayosikia kwenye filamu ya kwanza ni ya malkia mrembo Bi. Kidude.
Matatizo wanayoyapata dada zetu Afrika Mashariki ni yaleyale. Lakini tunajifanya kama hatuyaoni… Angalia kisa cha binti mmoja kutoka Malindi anayefanya biashara ya ‘kujiuza’.
Ingawa nina mapenzi na timu na mpira wa Afrika, nahisi kama Kombe la Dunia linaanza rasmi leo. Taswira za siku 15 zilizopita kutoka Afrika Kusini…
Baada ya kazi nzito, tafuta kinywaji, kaa kwenye kochi na angalia uzuri wa mbuga za Tanzania.
Kuna propaganda nyingi kuhusu watu wanaojitoa muhanga na kujilipua, hasa kutoka kwenye vyombo vya habari vya nchi za Magharibi. Lakini umeshawahi kujiuliza: Hivi, wanajaribu kutafuta chanzo?
Ndugu Rusesabagina aliamua kuwa mkimya kwa muda mrefu, lakini hatimaye ameamua kuzungumza na vyombo vya habari.
Lecture by Mr. Kofi Annan, the former UN-SG and Nobel Peace Prize Laureate.
Cameron speaks of his own struggles in the education system.
Nuclear power: the energy crisis has even die-hard environmentalists reconsidering it.
This is an account of the places I found interesting at the Shanghai Expo 2010 and in the city itself.
Listening to him and see what he has done, you’ll agree with me, his pencils & paint brushes are mightier than the sword.
The size of the word reflects how often it was used in the 2010/2011 budget speech (wordle.net) a 74 page…
All humans share some common bits of DNA, passed down to us from our African ancestors.
Is it the likeliest situation that an African country will never become a super power?
This is one of the finest uplifting tunes I have ever heard. Trust me, it’s not just a hype.