Watoto wa Taliban

Kuna propaganda nyingi kuhusu watu wanaojitoa muhanga na kujilipua, hasa kutoka kwenye vyombo vya habari vya nchi za Magharibi. Lakini umeshawahi kujiuliza: Hivi, wanajaribu kutafuta chanzo?

Motisha

Kama mtu na kijana mwingine yoyote, kuna siku ambazo mawazo yako hurandaranda kujaribu kutafuta majibu ya mambo mbalimbali. Je, umeshawahi…