Anti-Virus mixtape imenena
Mixtape hii imeibua hoja kadhaa, moja ikiwa ya uhusiano kati ya redio na wasanii, pamoja na nafasi ya redio katika kukuza sanaa na hata nafasi ya redio kuua sanaa.
Mixtape hii imeibua hoja kadhaa, moja ikiwa ya uhusiano kati ya redio na wasanii, pamoja na nafasi ya redio katika kukuza sanaa na hata nafasi ya redio kuua sanaa.
It was never my intention to flood the blog with Tanzanian National Parks’ video clips, data facts etc. But I have a feeling maybe we need to learn a thing or two about our treasures.
Ukiona uso wa fisi unaweza ukadhani hajui kulea watoto wake. Kumbe hadi wanyama wanadekeza watoto wao!
Wale ambao mnawajua fisi vizuri, mtakubaliana nami kuwa ni wabishi… Hasa kwenye suala la mlo. Kisa cha twiga na fisi kutoka Serengeti.
Wahenga walisema umoja ni nguvu… Angalia kisa cha nyati na simba kutoka Ngorongoro.
Vyakula, mitaa, marashi, muziki, mandhari na utashi wa Zenji. Sauti murua na nyororo utakayosikia kwenye filamu ya kwanza ni ya malkia mrembo Bi. Kidude.
It seems that everyone has forgotten President Obama’s warnings while he was campaigning when he indicated that change is hard, its not easy and requires sacrifice.
Tanzania’s Foreign Affairs and International Cooperation minister, Bernard Membe, says the Dual Citizenship Act will be enacted by the end of 2010.
Baada ya kazi nzito, tafuta kinywaji, kaa kwenye kochi na angalia uzuri wa mbuga za Tanzania.
Tanzania Football Federation announces new policy, caps foreign players being imported to local football clubs at five players, previously ten.
How can transport to and from the airport add to social and economic development in Dar-es-Salaam, Tanzania?
Harakati za Winston Churchill na timu yake nzima ya TAMASHA-Vijana.
Mara nyingi mambo mengi tunayojadili kuhusu Hip Hop tunakuwa kama tuna speculate tu. Kwahiyo, tunayoongelea kwenye kijiwe hiki ni tofauti na yatakayoongelewa kwenye kijiwe kingine kutokana na sababu kadhaa.
The size of the word reflects how often it was used in the 2010/2011 budget speech (wordle.net) a 74 page…
Is it the likeliest situation that an African country will never become a super power?
Leo nimepata fursa ya kuperuzi bajeti yetu… Bahati mbaya bajeti yetu nd’o hivyo tena.
Kuna mjadala umejitokeza kuhusu kurudishwa kwa mpango wa National Service kwa vijana.
Presidents Jakaya Kikwete and Armando Guebuza inaugurated the long-awaited Unity Bridge that spans 720 meters over the river Ruvuma between Tanzania and Mozambique. The two countries are finally connected…NOT!
Hayo sio maneno yangu, jamani! Ni kichwa cha habari cha mtiririko wa makala za Jenerali Ulimwengu kwenye gazeti la Raia…
Lyrics: Zum zum zum,Eeeeh mama nyuki lia we. Zum zum zum,Eeeeh mama nyuki lia we. Toka mbali, kutafuta, ua zuri,…
Mwandishi wa habari kutoka Afrika Kusini, Sam Rogers , (Mtengenezaji wa Filamu za Factuals — kitengo cha Uhalifu na Uchunguzi)…
Tanzania 1 – 5 Brazil (Highlights) Leo tufurahie chenga za Ngassa na goli la Aziz. Kesho tunaanza kuuliza maswali —…
Na “Mtu Fulani“ Kama kawaida yangu, napata habari sahihi kutoka kwenye tovuti yangu ya Wavuti huku nikipiga mzigo. Nikipata upenyo…
Kuna baadhi ya mambo unayaona au kuyasikia na hukupa motisha ya aina fulani – hasa yanapotokea nyumbani. Kitu muhimu zaidi…
Leo hii sanaa bado haijapewa heshima na kipaumbele kama inavyotakiwa, pamoja na sanaa kuwa kioo cha jamii. Tovuti na blog…
Msanii mkongwe Sugu au kama alivyokuwa akifahamika enzi zile kama Mr II anakuja na album itakayoitwa antivurus. Mixtape hii itakayoshirikisha…