Barua: Samahani Wanangu
Yah: Shukrani kwa Mh. Mrisho Mheshimiwa Mrisho nashukuru sana kupata ujumbe wako wa msamaha, umefika na nimeukubali, kwani moyo sio…
Yah: Shukrani kwa Mh. Mrisho Mheshimiwa Mrisho nashukuru sana kupata ujumbe wako wa msamaha, umefika na nimeukubali, kwani moyo sio…
na Lisa Boyd [A similar article in English can be found here. Do not hesitate to comment in English, too!]…
Picha za vitendo vya ushirikina na uchawi nilizoziona kwenye blogs mbalimbali wiki iliyopita bado zipo kwenye mawazo yangu. Kuandika makala…
Jezi za timu zetu zilikuwa hazina majina ya wachezaji migongoni (na tunajua kwanini ilikuwa mwiko kwa wachezaji kubadilishana jezi baada…
Mkutano wa Kili Music Awards uliofanyika majuma kadhaa yaliyopita ulitoa nafasi nzuri kwa wasanii kutoa maoni na madukuduku yao juu…
…pale maji yanapotufika shingoni Vijana wa Tanzania.Kuna mambo ambayo hujiri na yataendelea kujiri kwenye jamii yetu kila kukicha. Baadhi ya…
Venue: Diamond Jubilee Hall, Dar es Salaam. Date: June 24th & 25th, 2010 Tripod Media Company Limited is organizing “Tanzania’s…
Kilimota kama 5 hivi kutoka Morogoro mjini, pembezoni mwa mlima Uluguru, kuna shule moja maalumu yenye wanafunzi wenye vipaji. Wanafunzi…
Our bongoflava DJ in San Jose us Reggae Beats volume 2! Download the mix for free here. Thanks, Akundaeli […
Kuna wakati wasanii nyumbani walikuwa wanategemea vituo vikubwa vya redio – hasa Clouds FM – kuamua mafanikio ya kazi zao….
DJ Akundaeli – the Tanzanian DJ in San Jose, CA – sent us some more of his mix sets. All…
Jina: X Plastaz!…Kazi: Hip-hop!…Nyumbani: Arusha! Unategemea kijana wa kawaida mtaani kutoka Tanzania – ukiacha Arusha – atawajua X Plastaz kwa…
Msanii Afande Sele alipataga kutunga wimbo uliotwa, “darubini kali”, ambao ulimwongezea umaarufu hadi kumsaidia kushinda tuzo ya Mfalme wa Rhymes….
Tuliposikia Hasheem kapelekwa D-League Watanzania wengi tulishtuka. Ubaya au uzuri wa tukio hili ni kwamba – kutokana na habari zinavyotapakaa…
We recently heard from DJ Akundaeli, a Tanzanian DJ currently based in San Jose, CA. Presenting Akundaeli: Flava, a 25-track…
Baada ya kulivalia njuga hili suala nazidi kupata taarifa zaidi kila kukicha. Na mimi sisiti kuwapa taarifa Watanzania wenzangu na…
Asalaam-aleikum Vijana wenzangu! Unapoona picha za watu wanavyoathirika kutokana na uzembe, tamaa, uchoyo na ukatili wa binadamu wengine (angalia nakala…
Niliambiwa kuwa fimbo ya mbali haiuwi nyoka! Lakini nakumbuka kuwa niliandika insha kadhaa kubatilisha baadhi ya methali na nahau zetu…
Fid Q kama wasanii wengine wa hip hop/ bongo flava, wameanza kuchanganya lugha, yaani Kiingereza na Kiswahili katika nyimbo zao.
Swala la ujasiliamali linakwenda bega kwa bega na ubunifu, na ubunifu unachangiwa kwa namna moja au nyingine na elimu. Tukikubali…
In 2007, I came across a Wall Street Journal article, “The Secrets of Intangible Wealth” (click here to download PDF)….
Nadhani watu wengi watakuwa wamesikia au kuona hali kwenye vyuo vikuu au vyuo vya elimu ya juu kwenye miji mbalimbali…
Napenda kuchukua nafasi hii kutumia blog ya Vijana FM kumtafuta Ras Inno. Kama una mawasiliano naye, tafadhali mwambie kuwa Vijana…
Siku ya Ijumaa ina utamu wake jamani, we acha tu. Hasa ukiwa umeridhika na kazi nzito na murua ya wiki…
Zinduka ni mpango wa kuweneza ufahamu juu ya janga la malaria kwa nia ya kutokomeza ugonjwa huu. Mpango wa ‘Zinduka’…
Well, I never anticipated kick-starting my contribution to this blog in a ‘slightly’ negative tone. Anyways, woke up this morning…
Chimamanda Adichie speaks very well on the dangers of a single story. However, today it’s unfortunate that Tanzania is about…
It is quite amazing how time flies, we are already in mid-February of 2010 and so much has already happened…
This is a follow-up post to Bahati Mabala’s post Five Important People to Know posted 7 February 2010. Bahati’s post…
In many fields these days professional or not, networking is very important. Today success does not only depend on your…