Hatuna kiongozi
…pale maji yanapotufika shingoni Vijana wa Tanzania. Hii makala iliandikwa Aprili 12, 2010; wakati ‘vuguvugu’ la siasa bado halijaanza. Sijabadilisha hata neno moja.
…pale maji yanapotufika shingoni Vijana wa Tanzania. Hii makala iliandikwa Aprili 12, 2010; wakati ‘vuguvugu’ la siasa bado halijaanza. Sijabadilisha hata neno moja.
Nadhani tutaweza kukutumia vizuri zaidi kwenye mapinduzi tunayotaka kuyaleta Tanzania.
We ought to look beyond the indoctrination of our children with party-politics.
(w. Englist subtitles) Ujumbe, nasaha, hali halisi; ubunifu, vipaji, taaluma; ubora, umakini na kupenda kazi. Haya ndio matokeo yake.
Ila kuna wanaojaribu kujadili changamoto zinazotukabili kwa kina, na kuna wale wanaoangalia tu picha juu juu.
Nadhani siku mbili tatu zilizopita tumekuwa na mambo mazito sana hapa. Muda wa kazi umepita; sasa ni wakati wa dawa.
An upcoming feature documentary about a young man who returns home to Tanzania to rediscover his identity after an 8 year absence in America.
(w. Swahili subtitles) Seems like this week is all about “wanawake wa shoka”! It’s Ms. Mahiga’s turn today!
“Niguse bahati mbaya; nikuumize makusudi,” Imam Abbas kwenye wimbo wake ‘Bila Sanaa.’ Wanadamu wenzangu, mbona utu umetukimbia?
“Utahema vipi, una panga shingoni? Bora ubaki utotoni; Bongo motoni!”
A new greener, cleaner, and cheaper “rocket stove” is competing with the traditional three-stone stove in Mwamgongo.
Journey with three young men as they retrace their efforts throughout the past six years working to end the longest running war in Africa.
Amil Shivji shows us a day in the life of Bibi Aminajati Kalema at Hiari Orphanage in Chang’ombe, Dar-es-Salaam.
Makala hii itaanza kwa kukuvunja mbavu, lakini inapoelekea…; “Mzee wa Busara” Jenerali anawanyooshea kidole watu ambao bila shaka anawafahamu. Lazima kuisoma!