Khan academy

Kusema ukweli nilijuta sana pale Bahati alipotuletea taarifa za Khan na Khan Academy, kwasababu nina uhakika mambo yangu yangekuwa rahisi sana chuoni. Khan ameamua kutoa masomo bure – hisabati, sayansi, uchumi n.k – kwa njia ya mtandao; kuanzia elimu ya msingi hadi chuo kikuu. Tovuti yake ina kila kitu – fizikia, hisabati, kemia, uchumi, baiolojia, biashara, masomo ya kujiandaa na mitihani ya SATs, GMAT na mambo mengine yanayoendelea duniani.

Ukiacha hayo, Khan ni mtu ambaye ana kipaji kikubwa sana cha kuwasilisha maada ngumu kwa kutumia lugha na mifano rahisi. Kwahiyo nimeamua kuongeza tovuti yake kwenye ukurasa wetu wa Education and Scholarships ili wewe, pamoja na ndugu, jamaa na marafiki waweze kufaidika.

Tafadhali watumie watu wote taarifa hizi ambazo nina uhakika zitawanufaisha mno:

Previous ArticleNext Article
Steven was born and raised in Dar es Salaam, and moved to Germany for his studies. He graduated with a BSc. in Physics (Jacobs University Bremen), and then a MSc. in Engineering Physics (Technische Universität München). Steven is currently pursuing a PhD in Physics (growth of coatings/multilayers for next generation lithography reflective optics) in the Netherlands. He’s thinking about starting his own business in a few years; something high-tech related. At Vijana FM, Steven discusses issues critical to youths in Tanzania, music, sport and a host of other angles. He’s also helping Vijana FM with a Swahili translation project.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Send this to a friend