Hii katuni ya Gado inasema mambo mengi sana!
Kila siku nikiiangalia na kusoma yaliyoandikwa, naona na ‘kujifunza’ kitu kipya. Sijui wenzangu mnaona mambo gani hasa?
Hii katuni ya Gado inasema mambo mengi sana!
Kila siku nikiiangalia na kusoma yaliyoandikwa, naona na ‘kujifunza’ kitu kipya. Sijui wenzangu mnaona mambo gani hasa?
Nimecheka sana.
Ukweli hivi ndivyo wanavyoandika vijana wa kileo na hawaoni makosa yapo wapi.
Kazi ipo!
Miaka 10 ijayo, lugha tuliyonayo sasa itakuwa zilipendwa, inazaliwa upya sasa hivi – Swanglish aka Sheng jumlisha na abbreviations za kwenye simu, ‘takoma!
Kwenye barua ya pili university siku hizi inaitwa uni. No one has time pronounce or write the whole word. Just uni.
oh yeah…napata shida sana inapobidi kuandika kitu kwa kirefu especially wakati wa Mitihani.