Taarifa kutoka Mara

On February 8, 2011, in Audio, English, Swahili, by SN

M.B: Nguo ambazo Muhere Biraro alikuwa anatumia kwenye mgodi wa Mara.

Picha za waathirika zilishtua wengi. Baadhi ya wanavijiji walioathirika pembezoni mwa Mto Thighithe wakapelekwa Muhimbili — hasa wale wenye dalili zinazoonekana (mapunye makubwa, vidonda, kuhara n.k.); wakaambiwa labda wana ugonjwa wa kurithi kwa sababu wanatoka kwenye ukoo mmoja. Wakarudishwa Mara.

Ifuatayo ni makala fupi ya mambo yanayojiri kwenye vijiji karibu na migodi ya dhahabu Mara:

Wakati vyombo vya habari za kimataifa vikiendelea kufichua yanayoendelea huko, sisi Watanzania tunafanya nini?

Makala nyingine:

Share on Twitter
Tagged with:  

Leave a Reply