Nadhani wachache tulikuwa tunauangalia ule mpango wa Kigamboni kwa jicho la tatu. Nguli mmoja wa Vijana FM, “Bata”, ametuletea taarifa kuhusu mpango wa Bahari Beach.
Steven was born and raised in Dar es Salaam, and moved to Germany for his studies. He graduated with a BSc. in Physics (Jacobs University Bremen), and then a MSc. in Engineering Physics (Technische Universität München). Steven is currently pursuing a PhD in Physics (growth of coatings/multilayers for next generation lithography reflective optics) in the Netherlands. He’s thinking about starting his own business in a few years; something high-tech related. At Vijana FM, Steven discusses issues critical to youths in Tanzania, music, sport and a host of other angles. He’s also helping Vijana FM with a Swahili translation project.
This post has 5 Comments
5
Kwa kweli ni project nzuri tena, tunaombea watu wa kawaida wataweza kufaidika na mijengo hii.
Wasiwasi unakuja kwa wale walio “territorial”, kama mwenzenu napenda nijizungushie ka fence na niwe na ka privacy fulani.
Pia kuishi “communal” inakua tabu kwa upande wangu.
Otherwise its a good project kwa wale first time buyers and young professionals.
Sijui wadau mnasemaje?
Watu 10,000 tu wa “kawaida”? Nionavyo, ili mimi niweze kupata nyumba pale itanibidi niache kufanya ninachofanya na nianze “madili.” Mimi nitakuwa nakuja kuwasalimia tu!
Halafu nina wasiwasi mtu atahitaji kuwa na passport kuingia kwenye hiki “kijiji.”
Yah, probably bei yake itakuwa kali. Ila watu wengi siku hizi wanafanya real estate business. Hata mabenki nayo yanafanya mambo kama haya, ila in a smaller scale. Ila mji unakuwa, kutakuwa na project kama hizi nyingi tu. Mfano ni kama Mlimani City, Ubungo Plaza, Millenium Tower….
…Apts kwa ajili ya watu wa kawaida? Mbona nimeona Lamborghini karibu na daraja? Great simulation, i hope it will come into fruition. One more thing, I hope the funds for such a multibillion dollar project are already there (in the pockets of investors) and won’t come from the pockets of poor Tanzanians… Does TRC ring a bell?
Kwani hivi ni vivutio vya vijana kuja mijini ama?
Hii itasaidia vipi kurejesha vijana walio mjini kuwarejesha vijijini?
Ama miji haiwezi kujenga vijijini?
Huu si mgawanyo m’baya wa maliasili?
Mie NAWAZA KWA SAUTI TUUU!!!